Mkuu naomba nikujibu
Kwenda ulaya inahitajika mtaji mkubwa sio chini ya 4m ila kwenda Dubai hata 2m unaweza kwenda.
Kuhusu manyanyaso sijajua ni kazi Gani isio na changamoto
Kuhusu kulipwa laki Tano hapana
Ulinzi Kuwait 1.8m
Usafi Qatar 700k
Usafi Dubai 700k
Ujenzi Dubai 800k
Sasa iyo laki Tano ndio nasikia hapa mkuu naomba toa ufafanuzi zaidi