Burn the bridge _Tz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2021
- 2,259
- 6,630
Namaliza next week mkuuMaliza kusoma kwanza kijana
Unanisaidiaje mkuuHilo swali unalotuuliza linajibiwa na wewe mwenyewe sema hujajua ila ukiweza kujua "Malengo yako" basi utakuwa ushapata jibu la swali lako!
Muongozo nishakupa jijibu hilo swali, chakuongezea hapo ni piga hesabu za kimazingira za humu ndani na huko nje patakapo shinda komaa napo!.Unanisaidiaje mkuu
Naomba muongozo niweze kufanya self evaluation mwenyewe
😒😒😒Mpango wa pili, nimepata connection ya KAZI ya ulinzi, usafi na ujenzi Katika nchi za UAE kama Qatar Dubai na Kuwait.
fanyia kazi hio plan aNamaliza next week mkuu
Kumbuka failing to plan is a plan to fail
Ndio mkuu hii biashara inaweza kukuaHiyo biashara ina uwezekano wa Kukua? Kama inawezekana bora udeal nayo huku ukiendelea kusaka ajira kwa fani uliyosomea
Sawa kabisa ahsantefanyia kazi hio plan a
Nimepata jibu kimazingira nk Naona nje ni SahihiMuongozo nishakupa jijibu hilo swali, chakuongezea hapo ni piga hesabu za kimazingira za humu ndani na huko nje patakapo shinda komaa napo!.
Inawezekana ila inahitaji muda na mtaji ambayo kwa akili ya kawaida ni ngumu kupata.Fanya biashara ikue uje uajiri walinzi walinde biashara yako.
Duuh shukran sana bossBaki tu ndugu, huko mbali usipopajua ni changamoto zaidi
Ushindwe kwa jina la yesuMimi ni tapeli nilomtumia huyo ndugu yako.
Be care kijana.