VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,007
Mkuu hapo kwenye Vuta-Nkuvute aliniita jina langu la ubatizo kabisa...la kwangu na la baba.Yaani..kwa nn asijitambulishe kama yeye hadi atumie identity ya babake??
fix tu...mtu anakujua na anajua yr jf id
Bado ipo kaka.Haki ya Mungu tena!Anon no ishafutwa na tcra kwa hapa tz.
anakujua mkuu...somebody playing fool game behind..hakuna cha mtoto wa kigogo wala nani...Mkuu hapo kwenye Vuta-Nkuvute aliniita jina langu la ubatizo kabisa...la kwangu na la baba.Yaani..
Najiandaa kwa lolote...
uliacha namb buguluni baada ya kuhudumiwa... Ndo utaxumbuliwa mpka bax, wenzio wakienda hawaach namb
Najiandaa kwa lolote...
Mkuu hapo kwenye Vuta-Nkuvute aliniita jina langu la ubatizo kabisa...la kwangu na la baba.Yaani..