Msomaji wa uzii huu picha yako nimeiona katika kipindi cha kumbukumbu tbc,cha watu ambao walikwisha fariki sasa sina uhakika kama ni wewe ,ila kama siyomewe nisamee kumbe duniani ni wawiliwawili ......................pole sana.

Nakubaliana na mjumbe mmoja aliesema kuwa kujiunga JF kuwa kwa interview, umri na mimi naongeza hili kuanzisha thread lazima kuwe na gharama kidogo otherwise tutajikuta JF inageuka kuwa kijiwe cha watoto kiakili na kiumri au kimojawapo kati ya hivyo