Samahani,naomba ushauri wako hapa!!!

soma kwanza we mtoto kila kitu kwa wakati wake
 

Soma kwanza watakuja wenyewe! What if asipokuoa??
 
Kaa darasani wewe mtoto sikiliza walimu wanachofundisha....mapenzi yapo tu hayaishi
 
Ushauri wangu kwako soma kwanza sio unawaza kuolewa hata shule hujamaliza,
 

Miaka 20..broken family..lack of education..You need help!
 
listern to me do this mke / mume mwema anatoka kwa Bwana mean pray Mungu atkupa huyo MTU...coz imeandikwa pesa na dhahabu mtu hurith kutoka kwa babaye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…