Samahani mke wangu

Samahani mke wangu

Teh unaleta ugomvi wa mawe na huku unakaa kwenye nyumba ya vioo.

Huwa nasoma comments za baadhi ya wanaume afu nawasikitikia. Utakuta ana mke, ila nje ana michepuko sijui ulevi, kurudi sometimes hadi asubuhi na maudhi kibao. Ila atajisifia sasa, mke wangu haniulizi chochote, yani hajali, na huku ndo watamdanganya kabisa "ooh huyo mkeo ndo ameshakomaa kwa ndoa". Naogopa mnoooo kumess up na mtu mkimya/mpole, hujui nini anawaza nafsini mwake, siku akinyanyua uso wake ni hutooamini. Kweli silence is the best weapon, ona huyu analia lia sasa hivi gademuu

Hahah, kumbe wanapitia mengi na mipango ya nje.

Wewe bwana, eti package ya kugombania...lol
Halafu umeona, Shughuli inakuja hapo mtu anapo fall kabsa kwa mbebez wa kuvizia, anajikuta ka fall wakati bae ndo kwanza kachoka nae. Ni hapa sasa kama hivi mtu anachanganya akili na kutangaza nchi nzima kuwa alikuwa mistress.

Halafu mtu sijui huwa wana hakika vipi kuwa atamwacha mkewe achukuliwe yeye, watu wana moyo mbona.
Afadhali yake huyu Zogoo mambo yalibadilika before it's too late, before the mcheps couldn't do more harm to his family.
 
wanawake sampuli ya mkeo ni nadra sana kuwapata,
wapo wengi tu mtaani,
humu jf utasikia wanasema "kwenye makanisa ya kiroho wamejaa wanawake..!"
huku waume zao wakitumikia michepuko.
tofauti tu wengine huwa hawasemi tena wakishachoka hujishughulisha na kuzalisha kipato, fellowship, ibada baasi.
wengine husema kama wa mtoa mada na mwishowe huondoka.
wengine hawasemi huwa wanaondoka na kukutana na watu sahihi...
usishangazwe na wingi wa waumini wanawake makanisani kutokana na mambo ya kuwaumiza katika ndoa.
 
Hahah, kumbe wanapitia mengi ni mipango ya nje.

Wewe bwana, eti package ya kugombania...lol
Halafu umeona, Shughuli inakuja hapo mtu anapo fall kabsa kwa mbebez wa kuvizia, anajikuta ka fall wakati bae ndo kwanza kachoka nae. Ni hapa sasa kama hivi mtu anachanganya akili na kutangaza nchi nzima kuwa alikuwa mistress.

Halafu mtu sijui huwa wana hakika vipi kuwa atamwacha mkewe achukuliwe yeye, watu wana moyo mbona.
Afadhali yake huyu Zogoo mambo yalibadilika before it's too late, before the mcheps couldn't do more harm to his family.
Teh wanakutana na mengi mnoo, basi tu. Me nasemaga mara nyingi ukishakuwa kamchepuko na ufahamu wako kidogo unafungwa. Mwanaume wa hivyo unakuwa naye kwa machale mnoo ni bonge la red flag , anavyoitreat familia yake/mkewe now, what's the guarantee kuwa hatokutreat na wewe hivyo hivyo hapo baadaye??. Sema michepuko ndo vile inajionaga imekamilika kila idara ndo maana Mume anachepuka eti teh. Sasa mingine ikishaachwa ndo na kichaa juu.
Huyu zogoo ashukuru Mungu alitoka huko shimoni mapema
 
  • Thanks
Reactions: kui
Teh wanakutana na mengi mnoo, basi tu. Me nasemaga mara nyingi ukishakuwa kamchepuko na ufahamu wako kidogo unafungwa. Mwanaume wa hivyo unakuwa naye kwa machale mnoo ni bonge la red flag , anavyoitreat familia yake/mkewe now, what's the guarantee kuwa hatokutreat na wewe hivyo hivyo hapo baadaye. Sema michepuko ndo vile inajionaga imekamilika kila idara ndo maana Mume anachepuka eti teh. Sasa mingine ikishaachwa ndo na kichaa juu.
Huyu zogoo aahukuru Mungu alitoka huko shimoni mapema

Exactly, ni kweli.
 
Teh wanakutana na mengi mnoo, basi tu. Me nasemaga mara nyingi ukishakuwa kamchepuko na ufahamu wako kidogo unafungwa. Mwanaume wa hivyo unakuwa naye kwa machale mnoo ni bonge la red flag , anavyoitreat familia yake/mkewe now, what's the guarantee kuwa hatokutreat na wewe hivyo hivyo hapo baadaye??. Sema michepuko ndo vile inajionaga imekamilika kila idara ndo maana Mume anachepuka eti teh. Sasa mingine ikishaachwa ndo na kichaa juu.
Huyu zogoo ashukuru Mungu alitoka huko shimoni mapema

Ngastukaaa
 
Ukigundua kuwa mke hakuhofii tena unapata wakati mgumu sasa kujinyenyekeza.
 
Haha nimeshangaa ati, yakiwafika pabaya wenyewe wananyoosha bendera nyeupe.
Hakuna haja ya limbwata wala nini. 🙂
Limbwata la kazi gani, ukamuharibu mtu akili bure
 
  • Thanks
Reactions: kui

Similar Discussions

Back
Top Bottom