Samahani mke wangu

Samahani mke wangu

Yule Wa kule anae mtete mchepuko(japo yy ndo mchepuko) niitie tu aje kuona watu wenye hekima zao Na wanaume wenye akili
Sio mwanaume ajielewi Na ww mchepuko wampa kichwa
Hahaha me sitaki buana. Huyu mke nimempendaaaa
 
  • Thanks
Reactions: kui
yaani nimeishaa screenshot hiii noisome Na kuituma kwenye ba groop watu wamuone sarra Wa Dunia ya Leo mwanamke mwenyehekima ya juu sana
Hahaha wapelekee wasome bana. Kuna mama Patience mmoja utamfungua ufahamu wake. Kupigana sijui kutukanana inahuuu
 
Aisee!, mpaka na mie nimesikia kulia hapo mke alipofuta machozi.
Huyu mwanamke ni kiboko. Ni hivi niliuliza kule kwingine hivi usipokuwa na habari nae anakuwaje..kumbe ni hivi.
Hahaha huyu mwanamke sio kiboko tu, ni mamba kabisa. Mungu atupe hizi hekima jamani
 
Hahaha huyu mwanamke sio kiboko tu, ni mamba kabisa. Mungu atupe hizi hekima jamani

Acha tu..

Hahaha wapelekee wasome bana. Kuna mama Patience mmoja utamfungua ufahamu wake. Kupigana sijui kutukanana inahuuu

Eti Patience!..lol

Hii ya bila kelele ni nzuri unaona mpaka mtu anashtuka, huyu mke ni very descent.
Kuna wengine they will not go down without kicking and screaming. To just make scene 🙂
 
Acha tu..

Eti Patience!..lol

Hii ya bila kelele ni nzuri unaona mpaka mtu anashtuka, huyu mke ni very descent.
Kuna wengine they will not go down without kicking and screaming. To just make scene 🙂
Mmh yakikukuta, cha kwanza muombe Mungu, utulie. Wengine at first huwa wanapanick ndo unakuta unakula vichambo vya mchepuko. Ukitulia na Mungu, mbona utaucheka wakati na hayo majaribu. Tatizo wengi wetu ndo hivyo, tunawapa umuhimu zaidi wanaume kuliko Mungu, na matatizo/makosa tunayaweka mioyoni na sio akilini. Mwisho wa siku unakurupuka kufanya tu upuuzi, Ukijakishtuka umeharibu mnooo. Mungu atusaidie na haya mapito
 
Mkuu hii stor yako mbona km inafanana na yangu. Matendo uliomtenda mkeo ni exactly na mim nlivomtenda Mke wang Vick
The way alivoact mke wako ni the same alivoact Mke wang
NISAMEHE SANA MKE WANG VICK

Vp wew umesamehewa au mkeo kaondoka? Vick wang kanambia anaondoka yey na wanae
 
Mmh yakikukuta, cha kwanza muombe Mungu, utulie. Wengine at first huwa wanapanick ndo unakuta unakula vichambo vya mchepuko. Ukitulia na Mungu, mbona utaucheka wakati na hayo majaribu. Tatizo wengi wetu ndo hivyo, tunawapa umuhimu zaidi wanaume kuliko Mungu, na matatizo/makosa tunayaweka mioyoni na sio akilini. Mwisho wa siku unakurupuka kufanya tu upuuzi, Ukijakishtuka umeharibu mnooo. Mungu atusaidie na haya mapito

Yap, ndo tatizo uki panic tu inakula kwako. Muhimu kusoma game kwanza. Lakini asee inahitaji upako fulani amazing kupoa kwanza ukisikia baba watoto ana mpango pembeni cos I can't imagine mtu unampa moyo wako na watoto juu halafu anautupa tu bila kujali. Utapanick si mchezo.

Halafu kutoka nje kuna risk nyingi, unaumiza familia kama hivi na michepuko mingine haina adabu. Nimekumbuka hiki kisa, mchepuko baada ya kuachana na mbebez aliyekuwa mume wa mtu saa ngapi asiende kuweka billboard kabsa ya picha zake na mume wa mtu, kisa alisikia huyo mume karudi kwa mkewe. Halafu kayaweka sehemu maarufu zote mojawapo ni crossroads of the World, Times Square NY, for everyone to see...lol

Jilted mistress proclaims love for exec ex with billboard
 
Yani huyo mwanamke ni mke mwema, mke wa viwango vya juu sana, le akili kubwaaz. Ana hofu ya Mungu, ana hekima, anajitambua na anajua yeye ni nani na anataka nini. Bonge la package, I'm tapping into this anointing shaaa
Mm hapo tuu kwenye le akili kubwaz umenifurahisha saana shout out to lemutuz
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom