kui
JF-Expert Member
- Mar 2, 2009
- 6,467
- 6,500
Limbwata la kazi gani, ukamuharibu mtu akili bure
😀😀
Umenchekesha!, unaweza pitiliza na limbwata ukambadili kuwa mtoto kabsa akawa anakuganda day and night halafu lisifanyike hata la maana..lol
Limbwata la kazi gani, ukamuharibu mtu akili bure
Teh mtu anakaa kazini Ila anatoroka kazini akamuone tu mke, otherwise moyo unapepea kama karatasi Teh. Mbona mtakula mapenzi😀😀
Umenchekesha!, unaweza pitiliza na limbwata ukambadili kuwa mtoto kabsa akawa anakuganda day and night halafu lisifanyike hata la maana..lol
Teh mtu anakaa kazini Ila anatoroka kazini akamuone tu mke, otherwise moyo unapepea kama karatasi Teh. Mbona mtakula mapenzi
Teh kui acha kabisa, wanaume wanalishwa vingi jamani.. Na hivi wengi kutulia hawataki, basi wanameza kila aina ya limbwata na mengine ni uchafuu ptuuuuHivi watu huwa wanafanya hayo madubwasha?
Coz hiyo process ilivyo kama ni kweli asee, watu watakuwa na mioyo ya chuma wallah.
Nilisikia hata kuna nchi moja ambayo they eat, breath and live hayo mavitu, they use almost the same method, similar to our limbwata, lakini yao kama ni wanafanya hivyo kweli, yetu cha mtoto mbona!, Haki men all over, go through hell. Sometimes waki act up naona zinakuwaga frustrations za maswahibu wanayopitia..lol
Teh kui acha kabisa, wanaume wanalishwa vingi jamani.. Na hivi wengi kutulia hawataki, basi wanameza kila aina ya limbwata na mengine ni uchafuu ptuuuu
Teh teh hiyo mix ya diet zake za limbwata nahisi hata mbuzi akila ataugua khaa. Wewe waache wahangaike tu kama kuku wenye videli, watakoma virangaHahaha!, imagine mtu ana mke na micheps kama mitatu hivi, halafu awe na deep pockets, halafu kila mmoja avutie kwake, mke na micheps wawe wanaenda kwa 'wataalam' kulikuroga, na kila mmoja apewe 'recipe' ya mavituz ya kumuwekea ME kwenye mchuzi, na kila mmoja afanye hivyo karibu kila wiki, lets say for a couple of years...
Lazima report ya Dr. Iwe mbaya akipima afya.
Teh teh hiyo mix ya diet zake za limbwata nahisi hata mbuzi akila ataugua khaa. Wewe waache wahangaike tu kama kuku wenye videli, watakoma viranga
Hehe, anytime galHahhahaaaa, hata mbuzi akila ataumwa...lol!
This's funny, thanks Gal! 😀
Ndo maana Mungu aliwapa "wasaidizi" (Mke). Tusimame tu vizuri kwenye nafasi zetu ili tuwasaidie haswa maana tukiwaacha tu peke yao watapotea mazimaHeaven Sent kusema ukweli hawa jamaa wana kazi, and then asipojielewa vizuri au kujiamini vizuri it become worse.
Ukiwatafakari sana and things they go through kama hawajielewi, inasikitisha.
Ndo maana Mungu aliwapa "wasaidizi" (Mke). Tusimame tu vizuri kwenye nafasi zetu ili tuwasaidie haswa maana tukiwaacha tu peke yao watapotea mazima
Mko sahihi, maisha ya kukomoana, me tunaathirika mara 100 zaidi kuliko ke. Omba Mungu uwe na mke asiyewaza kukusaliti, au akikusaliti usijue, maana me akisikia kachapiwa anachanganyikiwa kuliko ke akisikia me wake kachapa njeKweli, for most part we can survive on our own, lakini wao, si rahisi ki hivyo.
Teh hadi yakiwafika pabaya lakini
Kweli, for most part we can survive on our own, lakini wao, si rahisi ki hivyo.
kweli mkuu utapoa zaidi ya maji kwenye mtungi.Ukisomewa hio risala lazima uwe mpole.
Teh teh hiyo mix ya diet zake za limbwata nahisi hata mbuzi akila ataugua khaa. Wewe waache wahangaike tu kama kuku wenye videli, watakoma viranga
Mjionee huruma wenyewe, tulieni kwenye ndoa zenu. Sio guarantee kuwa mtakuwa safe dhidi ya limbwata, but at least mtaepuka mengiMuwe na huruma kidogo basi, ni haki kweli kutulisha limbwata likiisha nguvu zake maana kila chenye mwanzo kina mwisho wake.
Weee nyie hadi yawafike makubwa kama yalokukuta ndo akili huwa zinawafungukaHapana sio mpaka litufike, unyenyekevu na upendo vipo tu kwa wapendwa wetu ila kuna kujisahau hasa mnapotukwaza