donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
.
Shukrani mkuuTayari imefika mkuu
VP mkuuAiseee
Mkuu acha kuharibu biashara za watu.Keki ya upako
teh [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Aaaah usimuhaibie mwenzio duka lakeEti mtume
Nonsense
Boss umesema kweli kabisa, kuna watu wameokoka ila kutwa kuzunguka kwa manabii mara kuvunja maagano, sijui roho ya mikosi kukataliwa, it's all nonsense. Yalikwisha msalabaniYesu kristo alishatukomboa katika yote, pale unamwamini Yesu moyoni mwako na kumkiri kua ni Bwana na mwokozi wa maisha yako sawasawa na Warumi 10:9-10 unakua umeokolewa.
Galatia 3:13-14 imemaliza kilakitu, ukishaokoka hakuna laana sijui ya babu sijui ya ardhi sijui ya ukoo, Yesu Kristo alishafanyika laana pale msalabani kwaajili yangu, Yesu ameshanilipia yote.
Warumi 8:1-2 sasa basi hakuna hukumu ya adhabu juu yao walio katika Kristo Yesu kwasababu sheria wa Roho wa uzima ule ulio katika Kristo Yesu imeniacha huru mbali na sheria ya dhambi na mauti.
Ukishaokoka na kuishi maisha matakatifu hakuna laana ya udongo wala hukumu juu yako.
Me pia....that's why mara chache naudhuriaga churchMe nikiendaga huko huwa natafuta wachumba tu
Yaani maombi yanampa mimba mwanamke, yaani maombi yanafuta madeni? Kwa namna gani haswa deni la benki linafutwa?