Natokea Kanda Maalum
JF-Expert Member
- Dec 22, 2016
- 749
- 1,308
Nimekuwa shabiki mkubwa wa alikiba Kwa kipindi kirefu ila Kwa huu ulofa anao ufanya sasa sina budi kuomba rasmi kujiunga team wasafi
Lakin pia nitumie fursa hii kumuomba radhi CEO wa wasafi Ndugu Naseeb Abdul Kwa kumchukia bila sababu huku nikiaminishwa na yule lofa anayejiita mfalme
Nimefatilia interview ya diamond Jana clouds 360 na nikaona nia yake ya dhati kumaliza sintofahamu baina yake na Ali Saleh
Nilichoshwa na posts za kibakuli baadae instagram hapo ndipo niliposema ni ujinga wa kiwango cha PHD kuendelea kuwa shabiki wa huyu jamaa