Samadu Maduu na anga za Kimataifa

Samadu Maduu na anga za Kimataifa

The Businessman

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2014
Posts
7,397
Reaction score
9,263
huchoki kumsikiliza, ndio mtangazaji pekee kwa tanzania anayejua kuzichambua habari za kimataifa sawasawa. hakika bwana dialo usikiache hili kichwa utakosa watazamaji. tunaomba mwenye cv ya huyu mzee..
 
Anatangazia Radio/Tv gani? Wengine hatumjui, nafikiri ni mchambuzi bora kwako na si kwangu na wengine tusiomjua!
 
Mtu mwenyewe wa kuangalia bongo movie na kusikiliza bongo fleva, utamjulia wapi kama kila SAA unaROCK
 
Naombeni niwaambie ukweli, mmemtaja Anthon Dialo mmiliki wa vyombo vya habari huko Mwanza, mara ya mwisho kusikiliza Radio Free Africa ililkuwa ni 2005 wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu na siku ambayo JK alivamiwa na mtu1 jukwaani, tangu kipindi hicho nimehamishia makazi yangu Dar sijawahi kusikiliza na wala kuona mtu anasikiliza hiyo radio station kwa hapa Dar, na km wapo waje hapa watoe ushuhuda wao
 
Anaitwa samadu hassan jamaa namkubali sn katika uchambuz wa habar za kimataifa,hachoshi kumsikiliza hasa katika makala zake za anga za kimataifa
 
Naombeni niwaambie ukweli, mmemtaja Anthon Dialo mmiliki wa vyombo vya habari huko Mwanza, mara ya mwisho kusikiliza Radio Free Africa ililkuwa ni 2005 wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu na siku ambayo JK alivamiwa na mtu1 jukwaani, tangu kipindi hicho nimehamishia makazi yangu Dar sijawahi kusikiliza na wala kuona mtu anasikiliza hiyo radio station kwa hapa Dar, na km wapo waje hapa watoe ushuhuda wao

Sina hakika kama unachokisena kina ukweli. Samadu Hassan Maduhu ni mtangazaji wa muda mrefu wa Radio Free Africa na Star TV ...anapenda kutangaza kipindi cha Anga za kimataifa na habari au matukio ya kimataifa.
 
Naombeni niwaambie ukweli, mmemtaja Anthon Dialo mmiliki wa vyombo vya habari huko Mwanza, mara ya mwisho kusikiliza Radio Free Africa ililkuwa ni 2005 wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu na siku ambayo JK alivamiwa na mtu1 jukwaani, tangu kipindi hicho nimehamishia makazi yangu Dar sijawahi kusikiliza na wala kuona mtu anasikiliza hiyo radio station kwa hapa Dar, na km wapo waje hapa watoe ushuhuda wao

Kweli umezunguka Dar nzima ukabaini hilo?!
 
mtangazaji wa startv namkubali yeye na yule mtangazi wa ITV kwenye michezo Hemed Kivuyo nawakubali sana
 
Naombeni niwaambie ukweli, mmemtaja Anthon Dialo mmiliki wa vyombo vya habari huko Mwanza, mara ya mwisho kusikiliza Radio Free Africa ililkuwa ni 2005 wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu na siku ambayo JK alivamiwa na mtu1 jukwaani, tangu kipindi hicho nimehamishia makazi yangu Dar sijawahi kusikiliza na wala kuona mtu anasikiliza hiyo radio station kwa hapa Dar, na km wapo waje hapa watoe ushuhuda wao

ngoja wa jamiiforums wa dar waje! ila kwangu rfa bado ni radio
 
Naombeni niwaambie ukweli, mmemtaja Anthon Dialo mmiliki wa vyombo vya habari huko Mwanza, mara ya mwisho kusikiliza Radio Free Africa ililkuwa ni 2005 wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu na siku ambayo JK alivamiwa na mtu1 jukwaani, tangu kipindi hicho nimehamishia makazi yangu Dar sijawahi kusikiliza na wala kuona mtu anasikiliza hiyo radio station kwa hapa Dar, na km wapo waje hapa watoe ushuhuda wao

Wewe ni mjinga namba moja hapa Tanganyika!!

Huwa unapita kila nyumba kukagua watu wanasikiliza redio au kuangalia TV gani?
Jinga wewe
 
Back
Top Bottom