Sam Mahela pongezi kwako, hongera kwa ITV pia

Sam Mahela pongezi kwako, hongera kwa ITV pia

Sam mahela is the best tv presenter in Tanzania . Huwa anaripoti matukio yote kwa ustadi mkubwa sana Kama vile ni reporter wa kimataifa. Hakuna reporter TANZANIA anaemfikia sam mahela. Aliyekuwa reporter mzuri mwingine ni Sowa Odhiambo alikuwa ameajiriwa na TBC.
 
kuna kipindi alikuwa anaripoti kampeni za ccm mlimponda sana humu leo hii ndio mnamuona the best
 
ITV wameanza maeneo ambayo CDM wamevuna kura. Bahati mbaya ni machache hivyo imebidi watoe na madiwani na wakati mwingine kurudia ya jana.
 
Back
Top Bottom