mjukuum
JF-Expert Member
- Dec 8, 2014
- 5,257
- 2,850
Mimba yako haikumkubali tu ila kama unataka different flavors yule ndio fundi sasa sababu presenters wengine wanaigana tu, mtu kama Renfred Masako na yule Marato wa Mara Dah huwa sichoki kuwasikia japo Masako simsikii tena siku hizi
Kiukweli siijui case ya Mahela ila kuna kitu kama hicho biologically kabisa na wapo watu nawafahamu wana tofauti hizo naturally.Umechimba Mkuu...
[emoji23][emoji23]mimi huwa ananichekeshaVipi na yule jamaa anayetangaza zamadam na dini ya kikristo tbc Anaitwa someone Makerubi ata nae ananikosha sana anavyotangaza
kipi hicho mkuuTatizo kuna kitu anatumia usoni kweny mikono anaacha,..
nilimpenda sana kipindi ileSam Mahela alianza kunivutia alipokua kwenye campaign za uchaguzi watu wanampenda balaa hasa kwenye vibanda vya kahawa mikogo yake na bashasha za manjonjo vinawakosha sana watu.
Festus Makerubi hivi alishmalizia kujenga nyumba yake kule Mbopo?Vipi na yule jamaa anayetangaza zamadam na dini ya kikristo tbc Anaitwa someone Makerubi ata nae ananikosha sana anavyotangaza