Salute kwa First Lady?

Salute kwa First Lady?

SMU

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2008
Posts
9,613
Reaction score
7,901
Hii imekaaje?
Picha%2Bno%2B2.jpg
 
Umesahau hii nchi ni ya Jk and his family? Ucshangae hapo akaja R1 na akapata saluti vile vile. Waache waenjoy vya mwisho mwisho manake siku zao zinahesabika.
Hii imekaaje?
Picha%2Bno%2B2.jpg
 
Huyu mjeda wa pembeni amejitenga, kwa jinsi alivyo na hasira na mume wake.
 
Hajamwamini hata huyo mpambe wake nyuma ambebee hilo begi, first lady na bonge la begi.
 
Umesahau hii nchi ni ya Jk and his family? Ucshangae hapo akaja R1 na akapata saluti vile vile. Waache waenjoy vya mwisho mwisho manake siku zao zinahesabika.

hapo ni mkoa gani?, mbona FL anabebelea bag kubwa, kunani?, au ndo alienda kuchukua mgao wa mkulu huko machimboni?.
 
Askari Uhamiaji huyo! Hawaivishwi kijeshi. Nitashangaa iwapo hata JW atamsaluti
 
The political - public dichotomy in our country is extremely complicated and nonsensical by our own ignorance. Mpiga salute hajui kwa nn anaipiga japo anajua mtu stahili wa kumpigia, mpigiwa ndio kabisa hajui, ila kwa sababu amezoea asipopigiwa atamwambia kilaza mumewe kwamba hakupata "mapokeo" mazuri. Ni mbaya sana........
 
nyie hamjapitia jeshini nini? gari tu inapigiwa saluti sembuse mke wake!
 
Moderator peleka hii kwenye jukwaa la siasa...
 
Huu ni upuuzi tena upuuzi uliokubuhu kumpigia saluti demu tena demu mwenyewe hana cheo chochote!!!! Hakianani watu kama sisi akina Dumelambegu tunajisikia hata kinyaa kuona mambo ya namna hiyo.
 
Umesahau hii nchi ni ya Jk and his family? Ucshangae hapo akaja R1 na akapata saluti vile vile. Waache waenjoy vya mwisho mwisho manake siku zao zinahesabika.

Mambo ovyo ovyo tu nchi hii,hivi kweli protokali imezingatiwa kufanya mambo km haya?Huyo afande si wa jeshi la anga?any way ni upuuzi mtupu.
 
Umesahau hii nchi ni ya Jk and his family? Ucshangae hapo akaja R1 na akapata saluti vile vile. Waache waenjoy vya mwisho mwisho manake siku zao zinahesabika.

muwe mnasoma na protocol sometimes, kama ipo kwenye katiba kuna tatizo gani kuwa practiced.
alafu, aliyekwambia askari anasalimia habari za leo ni nani. someni msikurupuke kuwadaganya wenzenu...
 
Inaelekea huko kuna kabaridi maana scarf imezungushwa haswa shingoni
 
Back
Top Bottom