Salute Dogo Janja

Bigbootylover

JF-Expert Member
Oct 4, 2015
2,847
1,826
Nilimsikiliza huyu dogo jana katika kipindi cha Amplifier cha Millard Ayo pale clouds fm, kuhusiana na sauti yake kuvuja akiwaponda TIP TOP na management yake kwa ujumla.

Kwanza dogo hakuikataa ile sauti, na akasema kuna ukweli katika kile alichoongea, sababu yeye kama msanii anapitia vitu vingi hasa kwa kipindi hiki ambacho hajatoa nyimbo au wimbo kwa muda mrefu.

Hakujua kwa nini yule binti alimrekodi na kuisambaza ile sauti, lakini akakiri kwamba ye ni kijana mdogo hivyo anahaki ya kusamehewa na wale walioguswa na ujumbe wake katika sauti ile.

Nimempa salute sababu hakuikataa ile sauti na akaomba kusamehewa na pia wamuangalie yeye kama msanii na ni kitu anachokitegemea ili kuendesha maisha yake.

Mungu akupe nguvu dogo katika wakati huu mgumu, pia nawaomba TIP TOP wakusamehe na wakusaidie.
 
Kwani TipTop ndo wamemfanya asitoe nyimbo? Si alikimbiliaga kwa Ustadhi Juma na Musoma kwa mbwembwe nyingi na kumchana Madee kwenye wimbo, what happened? Unamtafuta mchawi ee....
 
Kaza buti dogo acha kulia kulia, toka kivingine jeshi la mtu mmoja usifikiri kwenye gemu utabebwa kila siku iga mfano wa domo sasa hivi mambo yamekaa levo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom