Saluni za kunyoa hasa za Dar kuna umalaya mkubwa unaendelea

beba ela.ya kunyolea tu simu na vitu vingne vya thaman acha home ili akikwambia ayo yote we uwe unamjibu "dada nina ela ya kunyolea tu si unaiona ?"
Kuna dogo mmpenda hizo mambo aliizidiiwa kwenye mambo ya message akachapwa simu ya gharama mitaa ya Ilala huko
 
Kuna dogo mmpenda hizo mambo aliizidiiwa kwenye mambo ya message akachapwa simu ya gharama mitaa ya Ilala huko
huyo anayefanyia massage salon ni mshamba. Massage anakuja lodge unavua nguo zote unamwachia mazaga apambane nayo
 
Mitaa Ile kunyoa ni 20k..ukiwa mzembe unaweza kumaliza zaidi ya 100k maana kila watakachokwambia utajikuta unaitikia ndio tuuu...

Mimi nimehamia uswahilini saiv.. Nanyoa bila shida naenda kuoga nyumbani baada ya kunyoa
Njoo Huku Manzese kunyoa 1500 hadi 1000 an ukikwama kabisa unaongea na dogo anakunyoa fresh Kwa Jero
 
Mambo ya Santana yashafika Sinza Mkuuu watu wanajipa raha duniani
 

Attachments

  • 0201a5c0c53fc2e48b46564ccf6cd3a7.mp4
    2.5 MB
Wapi mkuu nielekeze saloon moja nikajionee mwenyewe mana raha ya ngoma ucheze
Ziko nyingi sana. Kwa Dar nenda salon za Sinza, Mwenge na Kijitonyama. Kwa Mwanza nilikwepa mtego salon moja barabara fulani jirani na Vizano Hotel (nadhani ni mtaa wa Uhuru). SIna uhakika na jina
 
Ushamba tu wa watu. Hamna umalaya mule. Nyoa nywele ukimaliza osha kichwa. Ukianza kuangalia maziwa ya muoshaji ndio utaanza kuwaza umalaya uingie mtegoni.
 
Sio masihara alafu wanajua sehemu sensitive, na wanazisugua balaaa unakuta jibaba unalegea kama mlendaaa ....wanashambulia sana ktk masikio, shingoni hukuuu ....ukikutana na ziwa kubwa kubwa linakugusa gusa
Hahahahahahahaaaa,wee jamaa mbona unasema ambayo nilifanyiwa Mimi ,hata sikujua lengo lilikuwa Nini wakati ananigusagusa na vititi vyake,ndo nimejua Leo kumbe ilikuwa makusudi
 
Hahahahahahahaaaa,wee jamaa mbona unasema ambayo nilifanyiwa Mimi ,hata sikujua lengo lilikuwa Nini wakati ananigusagusa na vititi vyake,ndo nimejua Leo kumbe ilikuwa makusudi
Eh ndio kawaida yao , wakikwamnia laza kichwa pale pale kaka utapigwa na ziwaaa aa, sasa omba ukutane na ziwa kubwa kubwa lile...likikugusa gusa
 
Huwezi amini hmu kuna watu wamesha anza kuomba connection wakajionee hawataki kusimuliwa kabisa .......
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom