Saluni za kunyoa hasa za Dar kuna umalaya mkubwa unaendelea

Habari za mda huu wadau kwa uchunguzi wangu wa hapa dar saloon nyingi za kiume kuna mambo mengi sana yana endelea chini ya kapeti kuna umalaya sana na uzaji mkubwa sana wa dawa za kulevya wadada wanajiuza wazi wazi

Hii ina athiri jitihada za serikali ya kupunguza mambukizi mapya ya VVU na UKIMWI najua pengine humu kuna wadau na mambo haya lakini ni muda mwafaka sasa serikali kuliangalia hili swala kwa mapana yake
Karibu Dasalama, nenda pale City Mall kuna Saloon moja mademu wote visu. Na bei zao zimechangamka, ukimaliza kawahadithie vizuri kwenu huko Uvinza.
 
Habari za mda huu wadau kwa uchunguzi wangu wa hapa dar saloon nyingi za kiume kuna mambo mengi sana yana endelea chini ya kapeti kuna umalaya sana na uzaji mkubwa sana wa dawa za kulevya wadada wanajiuza wazi wazi

Hii ina athiri jitihada za serikali ya kupunguza mambukizi mapya ya VVU na UKIMWI najua pengine humu kuna wadau na mambo haya lakini ni muda mwafaka sasa serikali kuliangalia hili swala kwa mapana yake
Kwani umalaya ni kosa kwa sheria za Tanzania?
 
Aisee kuna siku nilikuwa nasimamia harusi tukaenda kwenye hizo saloon moja iko pale kijitonyama hapo kati kama unatokea Sayansi. Tukanyoa vizuri sasa yule bwana harusi mtarajiwa akalipia sijui ndiyo half massage tukaingizwa kwenyw kichumba wakatupiga scrub pale na massage za kichwa walivyomaliza tukatenganishwa sasa kwenye vyumba tofauti qmbavyo vina mabafu huko ndani. Huko sasa ndiyo ilikuwa balaa kwanza nikavuliwa tshirt nikalazwa kwenye kakitanda duuh hatari sana sitarudia tena.... nimerudi saloon zangu za uswazi buku mbili kila kit
 
Malizia story mkuu
 
Kunyoa, Scrub, facial, Massage ya kichwa, full body massage, half body massage NK.
Hapo kwenye massage ya kichwa utachagua wewe kichwa gani unataka kifanyiwe massage.
Mkuu kwani binadam Ana vichwa vingapi au mimi ndo nimetoka uvinza juzi juzi
 
Aisee kuna siku nilikuwa nasimamia harusi tukaenda kwenye hizo saloon moja iko pale kijitonyama hapo kati kama unatokea Sayansi. Tukanyoa vizuri sasa yule bwana harusi mtarajiwa akalipia sijui ndiyo half massage tukaingizwa kwenyw kichumba wakatupiga scrub pale na massage za kichwa walivyomaliza tukatenganishwa sasa kwenye vyumba tofauti qmbavyo vina mabafu huko ndani. Huko sasa ndiyo ilikuwa balaa kwanza nikavuliwa tshirt nikalazwa kwenye kakitanda duuh hatari sana sitarudia tena.... nimerudi saloon zangu za uswazi buku mbili kila kit
Malizia bwashee mbona nusu nusu sasa
 
Habari za mda huu wadau kwa uchunguzi wangu wa hapa dar saloon nyingi za kiume kuna mambo mengi sana yana endelea chini ya kapeti kuna umalaya sana na uzaji mkubwa sana wa dawa za kulevya wadada wanajiuza wazi wazi

Hii ina athiri jitihada za serikali ya kupunguza mambukizi mapya ya VVU na UKIMWI najua pengine humu kuna wadau na mambo haya lakini ni muda mwafaka sasa serikali kuliangalia hili swala kwa mapana yake
Kuna mmoja nilikwenda basi wakaniamnia kaka karibu uoshe uso, nikajisemea sina hela, dada akaniambia utapata offer leo, ndio nikajongea ...ebanaaa kichwa kilipigwa pigwa na ziwa ziwa la yule mdada ebanaaa ikabidi nichukue na namba
 
Mitaa Ile kunyoa ni 20k..ukiwa mzembe unaweza kumaliza zaidi ya 100k maana kila watakachokwambia utajikuta unaitikia ndio tuuu...

Mimi nimehamia uswahilini saiv.. Nanyoa bila shida naenda kuoga nyumbani baada ya kunyoa
Mie na nyoaga hizi za kishikaji tu ukifika mnapiga mastory mengi mnabishana wee mkimaliza unamlipa buku yake unaenda home kujituliza.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom