Alex ex-saviery
Member
- Aug 9, 2013
- 23
- 5
Ni saluni iliyokamilika ina vifaa vyote kama dryer,tonic machine,pasi za nywele,madawa,viti, tv,vioo,kiti cha kuoshea nywele nk.Ipo barabarani maeneo ya magomeni ipo karibu na Kanisa la Magomeni kwenye stendi mpya ya magari mwendo kasi.
Marejesho hufanyika kwa wiki,na wiki ya kwanza hautafanya rejesho, pesa yote ya wiki ya kwanza utachuku ww uliekodi baada ya hapo kila wiki utakua unaleta kiasi cha pesa tutachoelewana.
Kwa maswali au maelezo zaidi nipigie 0717342771