Salumu Mwalimu: Nimepitia lundo la slips za wachangiaji sijaona ya sh 50,000 wala 10,000 bali 2000, 1000, 700 na 500

Wapuuzi sana,na wanaochangia sijui akili yao,linajiona chama kikubwa cha upinzani wanakutana na hukumu hawana hata senti wanaanza kuombaomba.
Kiujumla hawana akiba na ruzuku mil 340 wanayopata.
Hombus kabisa 🙃
Imepenya hiyooooo....roho inauma
 
Niliaga humu kuwa Niko masomoni tumepewa likizo ya pasaka naomba nijibu uongo wa chadema na Salum mwalimu Kwanza kama wengi waliolipia benki wa Mia mili na Mia tano na elfu foleni kwenye mabenki zingekuwa za kufa mtu kufikia hayo mamilioni lakini foleni hazikuwepo!!!!!!

La pili Salum mwalimu na chadema waongo chukulia mtu kalipia benki Mia tano,au Mia mbili au elfu moja mtu akilipia mfano yuko mikoani hizo slip kuzipeleka makao makao makuu gharama yake nii kubwa mno iwe Kwa posta au kwa basi au daladala hata kama Yuko dar es salaam!!!!!

Salum Mwalimu angesema kapitia statement ya benki angekuwa sahihi lakini kusema kapitia deposit slip mwongo mkubwa na chadema wenzie .Stupid.

Ukideposit huwajibiki kupeleka slip makao makiuu.Chadema uongo hauwasaidiii..Hakuna mlalaoii atachaingia Mia mbili halafu apeleke pay slip makao makuu hata kwa nauli ya daladala ya Mia tatu kwenda na kurudi Mia tatu jumla Mia sita mmmmmmm!!!!! .Chadema na Salum Mwalimu acheni uongo.Muwadanganye wazungu sio sisi waswahili
Na log off till September
 
Naibu katibu mkuu wa Chadema mh Salum Mwalimu amesema amepitia lundi la makaratasi ya malipo ya waliowachangia na hajaona mchango wa sh 50,000 wala 10,000 bali 5,000, 2000, 1000 na 500 hii maana yake ni kuwa tumetolewa gerezani na wananchi wa kawaida kabisa.

Source ITV habari

My take; Nakumbuka mbunge Kingu wa Singida alichangia sh 250,000 au ziliingia kwenye utaratibu mwingine?

Maendeleo hayana vyama!
Amesema "hazipo" au "hajaziona"?
 
Unapotaka kujiona sio juha kumbe ndio mwenyekiti wao....

Unakanusha kuwa kaka yake hakwenda kuomba msaada ikulu?
Ama sio kaka yake?
Na JPM hakutoa pesa?

Toa version yako itakayo pinga uhalisia ili utimize ujinga kuwa kazi ya wapinzani ni illusion ya kupinga kila kitu..

Jiangalie usije end up kupinga na jinsia yako...
Hebu muulize wakati hukumu ikisomwa alikuwepo mahakamani?? Kwann akimbilie Ikulu?? Ikulu siyo ofisi ya halashauri unaingia muda wowote kumuona mkirugenzi. Tafuta majuha wenzio uwadanganye.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naibu katibu mkuu wa Chadema mh Salum Mwalimu amesema amepitia lundi la makaratasi ya malipo ya waliowachangia na hajaona mchango wa sh 50,000 wala 10,000 bali 5,000, 2000, 1000 na 500 hii maana yake ni kuwa tumetolewa gerezani na wananchi wa kawaida kabisa.

Source ITV habari

My take; Nakumbuka mbunge Kingu wa Singida alichangia sh 250,000 au ziliingia kwenye utaratibu mwingine?

Maendeleo hayana vyama!
Kingu alikana huo mchango,
 
Back
Top Bottom