Salumu Mwalimu: Nimepitia lundo la slips za wachangiaji sijaona ya sh 50,000 wala 10,000 bali 2000, 1000, 700 na 500

Naibu katibu mkuu wa Chadema mh Salum Mwalimu amesema amepitia lundi la makaratasi ya malipo ya waliowachangia na hajaona mchango wa sh 50,000 wala 10,000 bali 5,000, 2000, 1000 na 500 hii maana yake ni kuwa tumetolewa gerezani na wananchi wa kawaida kabisa.

Source ITV habari

My take; Nakumbuka mbunge Kingu wa Singida alichangia sh 250,000 au ziliingia kwenye utaratibu mwingine?

Maendeleo hayana vyama!
Chadema ndo zao kujiongeza! Zitto 2ml. Jonathan creugoly mushi 300,000/= mimi 150,000/= inamaana zte hazipo.
 
Attachments

  • VID-20191223-WA0000.mp4
    2.5 MB
Hiki chama cha wachaga shida tupu washapiga pesa za wajelajela. Duuuuh hatari hapo stelling alikuwa jela na bado kapiga.
 
Kunawatu watatu tulituma kwa pamoja kama ifuatavyo.
1. Alphonce k. Mushi... Tsh.200,000/=
2.Deogratius M. Mwakabungu..90,000/=
3. Daniel T. Byalugaba..250,000/=
Ina maana michango hii mmeichakachua?
 
Attachments

  • VID-20191223-WA0000.mp4
    2.5 MB
Naibu katibu mkuu wa Chadema mh Salum Mwalimu amesema amepitia lundi la makaratasi ya malipo ya waliowachangia na hajaona mchango wa sh 50,000 wala 10,000 bali 5,000, 2000, 1000 na 500 hii maana yake ni kuwa tumetolewa gerezani na wananchi wa kawaida kabisa.

Source ITV habari

My take; Nakumbuka mbunge Kingu wa Singida alichangia sh 250,000 au ziliingia kwenye utaratibu mwingine?

Maendeleo hayana vyama!
Bwashee, kasema amepitia rundo (nyingi) maana yake sio zote, hata Act walichangia 2m pia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnataka kututoa kwenye msitali,Mwambieni Polepole na Msigwa wa kwa jiwe,wajitokeze mbele ya wanahabari wamjibu mchungaji Msigwa
 
Attachments

  • 89819500_2879218792165997_5745420113121640448_n.mp4
    1.8 MB
CCM wamejaa vilaza hapa hakuna atakaekuelewa. Mtu anamaanisha wengi waliokuwa ni wananchi wa kawaida waliochanga.anatokea lumumba mmoja Kama johnthebaptist anakwambia mbona milioni 2 ya Zito kabwe sijaiona.sasa unajiuliza Kuna kina zitto kabwe wangapi nchi hii?? Tuvumiliane ndio CCM ilipotufikisha
Hapo amezungumza lugha ya kitakwimu nyepesi kabisa "lundo la wachangiaji" kwa maana nyingine ni asilimia kubwa ya wachangiaji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kilaza mwengine kutoka chama chakavu CCM huyu hapa
Milion 2 ya Zito
Laki 5 ya Shangazi
Milion 7 ya Nyarandu
Laki 2.5 ya Kingu

zimeingia kwenye mifuko ya ‘wenye chama’ sio? bas sawa
 
CCM wamejaa vilaza hapa hakuna atakaekuelewa. Mtu anamaanisha wengi waliokuwa ni wananchi wa kawaida waliochanga.anatokea lumumba mmoja Kama johnthebaptist anakwambia mbona milioni 2 ya Zito kabwe sijaiona.sasa unajiuliza Kuna kina zitto kabwe wangapi nchi hii?? Tuvumiliane ndio CCM ilipotufikisha
Lundo zima halina slip ya sh 10,000?!

Kazi kweli kweli......... Clouds wanaita Fursa!
 
Lundo zima halina slip ya sh 10,000?!

Kazi kweli kweli......... Clouds wanaita Fursa!
Usamehewe maana hujui unalotenda. Asilimia zaidi ya 98% ya wachangiaji wametoa chini ya shilingi elfu 5. Hizo unazozungumzia kuanzia elfu 10 mpaka milioni 100 waliotoa ni 2% ya michango yote .how come uweze kuwaona?? Je umethibisha Salim Mwalimu amepitia slips zote za wachangiaji?. Achaa unaa mkuu.
 
Salum Mwalimu kapitia lundo lililopo hapo Ufipa st!
 
Back
Top Bottom