Salum Zahoro, mwimbaji wa "Tanganyika na Uhuru" 1961 anahitaji msaada

Mohamed Said

JF-Expert Member
Nov 2, 2008
20,916
30,259
SALUM ZAHORO MWIMBAJI WA "TANGANYIKA NA UHURU" 1961 NI MGONJWA SANA ANAHITAJI MSAADA

Tarehe 9 Desemba TBC walirusha kipindi cha kumbukumubu ya uhuru kipindi kikijikita zaidi katika mchango wa wanawake katika kupigania uhuru wa Tanganyika.

Niliwashauri TBC kutumia nyimbo ya Salum Zahoro na Kiko Kids, ''Tanganyika na Uhuru,'' katika kipindi chao na kwa hakika hili walilipenda sana na wakaipiga nyimbo hii wakati wa kumaliza kipindi.

Nimeweka clip fupi ya mwisho wa kipindi Salum Zahoro akiimba nyimbo hii.

Umri wa nyimbo hii ni sawasawa na umri wa miaka 59 kipindi cha uhuru wa Tanganyika.

Salum Zahoro aliimba nyimbo hiyo akiwa kijana labda wa miaka 20 akiwa kiongozi wa Kiko Kids Tabora.

Katika nyimbo hii utamsikia Salum Zahoro akiwataja viongozi wa Serikali ya Uhuru - Julius Nyerere, Abdallah Fundikira, Nsilo Swai, Tewa Said Tewa, Kawawa na wengineo.

Picha hii pamoja na nyimbo hiyo kaniletea Hamisi Delgado kutoka Ujerumani ambae ni mzawaliwa wa Tabora na akimjua Salum Zahoro toka yeye bado kijana mdogo.

Nilimfahamisha Delgado maradhi ya Mzee Salum Zahoro alipokuja likizo na siku ya pili tu alikwenda kumjulia hali nyumbani kwake ambako alifahamishwa kuwa Mzee Salum Zahoro amelazwa Hospitali ya Amana.

Delgado alikwenda kumuona hospitali.

Inatia simanzi na kusikitisha kuwa wazalendo wetu waliojenga taifa hili hatuwathamini.

Hapa sitasema mengi kwani tatizo hili kwa sasa ni maarufu hakuna asiyelijua.

Miezi michache iliyopita nilipokea simu usiku kutoka kwa Juma Mwapachu akaniambia kuwa yuko na Mzee Steven Hiza aliyetunga nyimbo, ''Tanzania Yetu ni Nchi ya Furaha,'' akiwa na Atomic Jazz Band ya Tanga.

Juma Mwapachu akanieleza masikitiko yake kwa hali ambayo amemkutanayo Mzee Hiza wakati nyimbo hii yake ndiyo imekuwa kama utambulisho wa taifa letu ukipigwa na steshini zote za radio na televisheni.

Aliniuliza nini tufanye ili Mzee Hiza na wanamuziki wetu walioitumikia nchi hii angalau waonje faida ya jasho lao lau kama tumechelewa.

Hii ndiyo hali ya mashujaa wetu waliohamasisha Watanzanaia katika kujenga taifa hili na kuleta maendeleo.

Picha ya Mzee Salum Zahoro akiwa amelazwa hosptali.

Screenshot_20201213-042732.jpg
 
Hawa babu zetu na wazee wetu waenziwe maana nikitazama na kusikiliza kazi zao nashindwa kuelewa wenye mamlaka ktk makumbusho, historia na BASATA wanafanya nini ktk kuwakumbuka watunzi na wanamuziki waliotoa michango ktk siasa za ndani na nje ya Tanzania. Ktk Video hii chini inamuonesha Mzee Salum Zahoro akifanya vitu adimu na wazee wenziwe:

Wimbo : Ni mashaka na hangaiko-Patrick Balisidya

Mtizame mzee Salum Zahoro akipiga gitaa la electric mandolin live pamoja na wakongwe wenziwe

Source : john kitime
 
Mzee Mohamed Said, hivi ni nyimbo hii au wimbo huu?

Steven Hiza nilimwona akihojiwa na TBC siku si nyingi na mtangazaji akaahidi kuwa ataongea na wahusika serikalini ili kumkumbuka na kumjali mzee huyo kutokea Tanga.

Ni vema serikali ikawakumbuka wazee wengine yamkini wapo wengi ila wamefichika huko vijijini.
 
13 Sept 2019

MZEE WA ALIYEIMBA WIMBO WA "TANZANIA YETU" , AIBUKA / ATAKA KUONANA NA RAIS / AZUNGUMZA MENGI USIYOYAFAHAMU

Mzee wa Steven John Hiza aliyeimba Tanzania yetu amezungumza mambo mengi kuhusu maisha yake yalivyo kwa sasa lakini pia matamanio yake yakukutana na Rais Magufuli. Msikilize hapa

Source : CLOUDSMEDIA
 
STEVEN HIZA: MTUNZI WA NYIMBO YA TANZANIA NCHI YA FURAHA AOMBA MH RAIS AMSAIDIE

Source : Thinkers TV online
 
Wafanyakazi - Sikinde Mlimani Park

Wimbo uliohamashisha wazee wetu kufanya kazi kwa bidii na maarifa enzi zao wafanyakazi wakiwa chini ya Jumuiya ya CCM

Source : zamani leo
 
SALUM ZAHORO MWIMBAJI WA "TANGANYIKA NA UHURU" 1961 NI MGONJWA SANA ANAHITAJI MSAADA

Tarehe 9 Desemba TBC walirusha kipindi cha kumbukumubu ya uhuru kipindi kikijikita zaidi katika mchango wa wanawake katika kupigania uhuru wa Tanganyika.

Niliwashauri TBC kutumia nyimbo ya Salum Zahoro na Kiko Kids, ''Tanganyika na Uhuru,'' katika kipindi chao na kwa hakika hili walilipenda sana na wakaipiga nyimbo hii wakati wa kumaliza kipindi.

Nimeweka clip fupi ya mwisho wa kipindi Salum Zahoro akiimba nyimbo hii.

Umri wa nyimbo hii ni sawasawa na umri wa miaka 59 kipindi cha uhuru wa Tanganyika.

Salum Zahoro aliimba nyimbo hiyo akiwa kijana labda wa miaka 20 akiwa kiongozi wa Kiko Kids Tabora.

Katika nyimbo hii utamsikia Salum Zahoro akiwataja viongozi wa Serikali ya Uhuru - Julius Nyerere, Abdallah Fundikira, Nsilo Swai, Tewa Said Tewa, Kawawa na wengineo.

Picha hii pamoja na nyimbo hiyo kaniletea Hamisi Delgado kutoka Ujerumani ambae ni mzawaliwa wa Tabora na akimjua Salum Zahoro toka yeye bado kijana mdogo.

Nilimfahamisha Delgado maradhi ya Mzee Salum Zahoro alipokuja likizo na siku ya pili tu alikwenda kumjulia hali nyumbani kwake ambako alifahamishwa kuwa Mzee Salum Zahoro amelazwa Hospitali ya Amana.

Delgado alikwenda kumuona hospitali.

Inatia simanzi na kusikitisha kuwa wazalendo wetu waliojenga taifa hili hatuwathamini.

Hapa sitasema mengi kwani tatizo hili kwa sasa ni maarufu hakuna asiyelijua.

Miezi michache iliyopita nilipokea simu usiku kutoka kwa Juma Mwapachu akaniambia kuwa yuko na Mzee Steven Hiza aliyetunga nyimbo, ''Tanzania Yetu ni Nchi ya Furaha,'' akiwa na Atomic Jazz Band ya Tanga.

Juma Mwapachu akanieleza masikitiko yake kwa hali ambayo amemkutanayo Mzee Hiza wakati nyimbo hii yake ndiyo imekuwa kama utambulisho wa taifa letu ukipigwa na steshini zote za radio na televisheni.

Aliniuliza nini tufanye ili Mzee Hiza na wanamuziki wetu walioitumikia nchi hii angalau waonje faida ya jasho lao lau kama tumechelewa.

Hii ndiyo hali ya mashujaa wetu waliohamasisha Watanzanaia katika kujenga taifa hili na kuleta maendeleo.

Picha ya Mzee Salum Zahoro akiwa amelazwa hosptali.

View attachment 1648536
Mzee wa watu afya yake imeporomoka kwa kasi sana.
 
Wanasaidiwa kwa sababu ni wanamuziki au ni binadamu.Tanzania kuna katabia kameibuka na kanakomaa eti wanamichezo wasanii,wanamuziki na watu maarufu wakiumwa wasaidiwe, binafsi huwa nashangaa tu.
Walimu waliokufundisha wakiumwa huwasaidii ila mpiga tarumbeta tumsaidie.Suala la kusaidia liwe la kijamii na sio kundi Fulani tu, tena ukizingatia ujanani walikuwa wanspenda maisha na Malaya halafu Leo unibebeshe mzigo.
 
Hawa babu zetu na wazee wetu waenziwe maana nikitazama na kusikiliza kazi zao nashindwa kuelewa wenye mamlaka ktk makumbusho, historia na BASATA wanafanya nini ktk kuwakumbuka watunzi na wanamuziki waliotoa michango ktk siasa za ndani na nje ya Tanzania. Ktk Video hii chini inamuonesha Mzee Salum Zahoro akifanya vitu adimu na wazee wenziwe:

Wimbo : Ni mashaka na hangaiko-Patrick Balisidya

Mtizame mzee Salum Zahoro akipiga gitaa la electric mandolin live pamoja na wakongwe wenziwe

Source : john kitime

Ujana na nguvu kitu cha kwisha tizama vijana wa waqt huo leo wazee na hawana tena ule ujamali na nyuso ang'avu pindi walipokuwa ma barobaro.
 
SALUM ZAHORO MWIMBAJI WA "TANGANYIKA NA UHURU" 1961 NI MGONJWA SANA ANAHITAJI MSAADA

Tarehe 9 Desemba TBC walirusha kipindi cha kumbukumubu ya uhuru kipindi kikijikita zaidi katika mchango wa wanawake katika kupigania uhuru wa Tanganyika.

Niliwashauri TBC kutumia nyimbo ya Salum Zahoro na Kiko Kids, ''Tanganyika na Uhuru,'' katika kipindi chao na kwa hakika hili walilipenda sana na wakaipiga nyimbo hii wakati wa kumaliza kipindi.

Nimeweka clip fupi ya mwisho wa kipindi Salum Zahoro akiimba nyimbo hii.

Umri wa nyimbo hii ni sawasawa na umri wa miaka 59 kipindi cha uhuru wa Tanganyika.

Salum Zahoro aliimba nyimbo hiyo akiwa kijana labda wa miaka 20 akiwa kiongozi wa Kiko Kids Tabora.

Katika nyimbo hii utamsikia Salum Zahoro akiwataja viongozi wa Serikali ya Uhuru - Julius Nyerere, Abdallah Fundikira, Nsilo Swai, Tewa Said Tewa, Kawawa na wengineo.

Picha hii pamoja na nyimbo hiyo kaniletea Hamisi Delgado kutoka Ujerumani ambae ni mzawaliwa wa Tabora na akimjua Salum Zahoro toka yeye bado kijana mdogo.

Nilimfahamisha Delgado maradhi ya Mzee Salum Zahoro alipokuja likizo na siku ya pili tu alikwenda kumjulia hali nyumbani kwake ambako alifahamishwa kuwa Mzee Salum Zahoro amelazwa Hospitali ya Amana.

Delgado alikwenda kumuona hospitali.

Inatia simanzi na kusikitisha kuwa wazalendo wetu waliojenga taifa hili hatuwathamini.

Hapa sitasema mengi kwani tatizo hili kwa sasa ni maarufu hakuna asiyelijua.

Miezi michache iliyopita nilipokea simu usiku kutoka kwa Juma Mwapachu akaniambia kuwa yuko na Mzee Steven Hiza aliyetunga nyimbo, ''Tanzania Yetu ni Nchi ya Furaha,'' akiwa na Atomic Jazz Band ya Tanga.

Juma Mwapachu akanieleza masikitiko yake kwa hali ambayo amemkutanayo Mzee Hiza wakati nyimbo hii yake ndiyo imekuwa kama utambulisho wa taifa letu ukipigwa na steshini zote za radio na televisheni.

Aliniuliza nini tufanye ili Mzee Hiza na wanamuziki wetu walioitumikia nchi hii angalau waonje faida ya jasho lao lau kama tumechelewa.

Hii ndiyo hali ya mashujaa wetu waliohamasisha Watanzanaia katika kujenga taifa hili na kuleta maendeleo.

Picha ya Mzee Salum Zahoro akiwa amelazwa hosptali.

View attachment 1648536
Ngoja tumstue Malisa aanzishe harambee kwa ajili ya huyu mzee tuchangie , waliokula hela ya tetemeko hawawezi kumjali huyu mzee
 
Allah amponye, si pekeyake anapata machungu hayo wapo wengi Sana waneumia na wapo walio umia hatunao tena. Allah atawabariki huko walipo.
hiyo ndiyo serikali ya maccm
 
Inatia huzini sana... Lakini hawa wazee ndo walikuwa waasisi wa CCM na katiba mbovu tuliyonayo..

Hivi wanavoteseka sasa, lawama haswa ziende kwa nani? Sisi vijana ama wajilaumu wao wenyewe???
Ni kweli, ukienda beyond kidogo utagundua kuwa hata kwa umasikini wa waafrika weusi tunapaswa kuwalaumu wazee wetu kwani enzi zao hawakuwa serious na maisha tofauti na wazungu na races zingine.
 
Mzee Mohamed Said, hivi ni nyimbo hii au wimbo huu?

Steven Hiza nilimwona akihojiwa na TBC siku si nyingi na mtangazaji akaahidi kuwa ataongea na wahusika serikalini ili kumkumbuka na kumjali mzee huyo kutokea Tanga.

Ni vema serikali ikawakumbuka wazee wengine yamkini wapo wengi ila wamefichika huko vijijini.
Azarel,
Nimepatwa kuulizwa swali hili huko nyuma.
Mimi nikajibu kuwa Kiswahili changu kama tunavyozumgumza wengi mfano wangu ni tunase nyimbo.

Sisi tunasema upungufu hatusemi mapungufu.

Nk. nk.
 
Wanasaidiwa kwa sababu ni wanamuziki au ni binadamu.Tanzania kuna katabia kameibuka na kanakomaa eti wanamichezo wasanii,wanamuziki na watu maarufu wakiumwa wasaidiwe, binafsi huwa nashangaa tu.
Walimu waliokufundisha wakiumwa huwasaidii ila mpiga tarumbeta tumsaidie.Suala la kusaidia liwe la kijamii na sio kundi Fulani tu, tena ukizingatia ujanani walikuwa wanspenda maisha na Malaya halafu Leo unibebeshe mzigo.
Ukweli mchungu
 
Back
Top Bottom