View attachment 227786
ukija Simba utacheza sana mpira
ukija Simba utacheza sana mpira
View attachment 227786
ukija Simba utacheza sana mpira
Mwehu tu. Mnatapatapa tu maumivu ya Domayo hayo.
Mkuu aliyeanzisha uzi ni mnazi wa Simba, tumia muda wako kusoma thread yote kabla ya kuibuka na maneno kama haya. Domayo hajazaliwa, Yanga ipo hivyo hakuna cha maumivu hapo.
Wakati mwingine unalazimika kuweka kando unazi, huyu kijana ambaye alikua majeruhi kwa muda mrefu ameiimarisha sana safu ya kiungo ya Yanga
- Anatumia AKILI NYINGI SANA
- Hakai na mipira
- Hana makeke uwanjani-mpira wa jukwaa
- Anajua wajibu wake
- Aende mbali
Ajiongeze tu ............
- Ajitahidii kupiga pasi za mwendo (through passes) kwani pasi zake nyingi ni square hivyo hazisaiidii timu kushambulia
- Wakati mwingine hujisahau uwanjani (concentration) hasa kwenye marking
- Ajitahidi asiwe mnyonge sana kwa kusema na wenzie au hata kufika kwa nguvu (total marking) nadhani bado ana uoga wa majeraha
View attachment 227786
ukija Simba utacheza sana mpira
Mkuu aliyeanzisha uzi ni mnazi wa Simba, tumia muda wako kusoma thread yote kabla ya kuibuka na maneno kama haya. Domayo hajazaliwa, Yanga ipo hivyo hakuna cha maumivu hapo.
anastahili aje Simba
huyu dogo namkubali sana, nadhani hata kina niyonzima, mkude simba na domayo hawaono ndani - kwa maoni yangu lakini
Yaani huyo dogo namkubali sana namna anavyokaba, anavyopiga pasi za uhakika na kila kona ya uwanja utamkuta yupo huyu. Big up Salumu Telala (master pass)
Hivi kwenye timu yetu ya taifa yumo au kocha hajamkubali?