Salum Mwalimu na wenzake nane wagoma kula

Jamani mliokaribu nae mpeni story ya Lema aligoma kula akajua watambembeleza wenzie wakapanga kumfungulia kesi ya kujidhuru aliomba chips mayai mwenyewe sasa yeye urojo sijui ataupata wapi uko simiyu
 
Mimi sijaribiwi Kama kuna aliyewatuma waende kunwambia kuwa sijaribiwi.... Hii kauli wangeitafakari Hali hii isingefika hapo walipo(mahabusu)
 
Ina maana huyu jamaa bado yupo ndani?! Wanatumia vigezo gani kutompatia dhamana muda wote huu?!
 
Zanzibar ni nchi kamili kwa mujibu wa katiba ya Zanzibar ya 2010.Huyu Salum Mwalimu ni naibu katibu mkuu wa CHADEMA wa nchi Huru na nchi kamili ya Zanzibar.Kwa nini alitoka nchini kwao kuja kuleta uchochezi kwenye nchi isiyokuwa yake? Anakuja kuingilia mambo ya siasa za ndani za nchi ya Tanzania BARA wakati Tanzania bara inaye Naibu KAtibu mkuu wake wa CHADEMA ambaye ni MHESHIMIWA sana John MNYIKA.

Yeye Salum Mwalimu KAZI ZAKE za Unaibu katibu mkuu ni Zanzibar sio Tanzania bara huku Tanzania bara ni eneo la Ufalme la JOHN Mnyika.Polisi endeleeni kumng`ang`ania huyo raia na kiongozi wa nchi ya Zanzibar aliyekuja kuleta uchochezi Tanzania bara na hilo kundi lake lililoungana naye huyo raia wa nchi ya Zanzibar
Magufuli kaenda pemba kufanya nini?
 
Masauni na shaka wale wa UVCCM ni Wazanzibar, wapo Dodoma nao wanafanya siasa nchi sio yao, waondoke haraka .......
 
Yaani sio siri nimekuwa shocked manake tangu nisikie yupo ndani, siku kadhaa zimepita... so, sikutarajia kabisa kwamba bado angekuwa ndani hadi sasa!!
Walikuwa wanamzuia kupatikana nje 1 septemba kiaina, ila sasa wameamua tu kuonesha ubabe wa kiutawala. haina umuhimu ktk kutawala vyema nchi changa kidemokrasia tena ya kiafrika
 
Zanzibar ni nchi kamili kwa mujibu wa katiba ya Zanzibar ya 2010.Huyu Salum Mwalimu ni naibu katibu mkuu wa CHADEMA wa nchi Huru na nchi kamili ya Zanzibar.Kwa nini alitoka nchini kwao kuja kuleta uchochezi kwenye nchi isiyokuwa yake? Anakuja kuingilia mambo ya siasa za ndani za nchi ya Tanzania BARA wakati Tanzania bara inaye Naibu KAtibu mkuu wake wa CHADEMA ambaye ni MHESHIMIWA sana John MNYIKA.

Yeye Salum Mwalimu KAZI ZAKE za Unaibu katibu mkuu ni Zanzibar sio Tanzania bara huku Tanzania bara ni eneo la Ufalme la JOHN Mnyika.Polisi endeleeni kumng`ang`ania huyo raia na kiongozi wa nchi ya Zanzibar aliyekuja kuleta uchochezi Tanzania bara na hilo kundi lake lililoungana naye huyo raia wa nchi ya Zanzibar
Magufuli leo yuko Pemba,
 
Mmoja kati ya ma kamanda wa UKUTA aliyetiwa mahabusu agoma kula chakula kwa madai ya kutaka kusikilizwa kwa kesi yake.
Salum Mwalimu na wenziwe kumi na nane wamegoma kula kuanzia leo

Chanzo: Mwananchi
Wampelekee mbatata urojo uone kama atakataa.
 
Wanaiombea nchi kwa kufunga kama mwenzao alivyofanya.
 
Mpemba kafata nini Simiyu? Acha aisome namba
Acha ubaguzi. Simiyu na Pemba zote ni sehemu ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania hivyo kila raia wa nchi hii anao uhuru wa kwenda popote ndani ya Nchi hii.
 
Back
Top Bottom