hii nchi tunako enda siko mambo kama haya ndo yanajenga chuki kwenye jamiiMmoja kati ya ma kamanda wa UKUTA aliyetiwa mahabusu agoma kula chakula kwa madai ya kutaka kusikilizwa kwa kesi yake.
Salum Mwalimu na wenziwe kumi na nane wamegoma kula kuanzia leo
Source: Mwananchi
Kugoma kula ni international strike!! kwa mburulaz wa TZ watasema oh tutawashtaki kutaka kujiua I hate themMmoja kati ya ma kamanda wa UKUTA aliyetiwa mahabusu agoma kula chakula kwa madai ya kutaka kusikilizwa kwa kesi yake.
Salum Mwalimu na wenziwe kumi na nane wamegoma kula kuanzia leo
Source: Mwananchi
Mtu amegoma kula mwenyewe halafu unasema ameonewa ulitaka nani amshikie kijiko? au ndio wale 'tunashukuru serikali kutuletea tamasha la kupatwa jua Lujewa"!
!
kama kawaida yao hawana jipya zaidi ya kuonea raia wasio na kosa.
Mmoja kati ya ma kamanda wa UKUTA aliyetiwa mahabusu agoma kula chakula kwa madai ya kutaka kusikilizwa kwa kesi yake.
Salum Mwalimu na wenziwe kumi na nane wamegoma kula kuanzia leo
Source: Mwananchi
Magufuri kafuata nini Pemba.?UZEZETA KITU KIBAYA SANAMpemba kafata nini Simiyu? Acha aisome namba