Salum Mwalimu na wenzake nane wagoma kula

Salum Mwalimu na wenzake nane wagoma kula

saaaafi sana asile kabisaaaaaaaaaaaaaaaaa kula chakula ni hiari

Mimi kitendo cha yeye kutokula nakiunga mkono.Chakula si jambo la muungano.Halimo katika mambo tuliyokubaliana sisi na kule Zanzibar ambako anatoka.Kitendo chake cha kula chakula cha bara bure bila kulipa chochote ni kuvunja katiba waziwazi.Abakie hivyo hivyo asile ili asivunje katiba.
 
Ndio strategy mpya iliyobuniwa na CHADEMA nini?
 
Mmoja kati ya ma kamanda wa UKUTA aliyetiwa mahabusu agoma kula chakula kwa madai ya kutaka kusikilizwa kwa kesi yake.
Salum Mwalimu na wenziwe kumi na nane wamegoma kula kuanzia leo

Chanzo: Mwananchi
Hii inanikumbusha kisa cha Wambura aliyewekwa jela kwisha akaahidiwa kutoroshwa kupitia kwenye jeneza. Siku ya kutoroka akawa ameingia kwenye jeneza la mtu yule waliyepanga naye kuwa atakuja kumtoa baada ya kufukiwa.
Salum Mwalimu alitegemea mawakili wa Chadema watamtoa kwa kasi kubwa sasa imekuwa kinyume chake. Mwenyekiti yupo hoi kiuchumi na kisiasa na viongozi wengine hoi. Binadamu si wa kumtegemea sana kwani ni dhaifu hivyo usiingie kwenye hatari kwa kuutegemea msaada kutoka kwa binadamu
 
Ha ha ha ha anamuiga lema mwenzake wa kaskazini mwenzao wakamuwahi mapema
 
Sasa shida yote hiyo kisa UKUTA. Ajabu yake sasa UKUTA wenyewe umeyeyuka ukiwaachia watu mateso.
 
Chuki,visasi,ukabila,ubaguzi unazidi tamalaki nchi hi mtu anadiriki kusema mpemba kaenda kufanya nini Simiyu muda mwingine stress za maisha msizilete JF
 
Wacha afunge kwa kufanya maombi ya kuliombea Taifa.
 
kama walikataa kutia sheria bila shuruti ....... basi mahabusu inawahusu sana
 
Haaa kesho utasikia anashitakiwa kwa kosa la kutaka kujiua.
 
Kula tu kaka umevamia shughuli usioilewa wenzio wote wapo dar,mpira na siasa kama hujui usiingie kichwa kichwa!
 
Back
Top Bottom