Magufuri kafuata nini Pemba.?UZEZETA KITU KIBAYA SANA
KATIKA UBORA WAKO.Zanzibar ni nchi kamili kwa mujibu wa katiba ya Zanzibar ya 2010.Huyu Salum Mwalimu ni naibu katibu mkuu wa CHADEMA wa nchi Huru na nchi kamili ya Zanzibar.Kwa nini alitoka nchini kwao kuja kuleta uchochezi kwenye nchi isiyokuwa yake? Anakuja kuingilia mambo ya siasa za ndani za nchi ya Tanzania BARA wakati Tanzania bara inaye Naibu KAtibu mkuu wake wa CHADEMA ambaye ni MHESHIMIWA sana John MNYIKA.
Yeye Salum Mwalimu KAZI ZAKE za Unaibu katibu mkuu ni Zanzibar sio Tanzania bara huku Tanzania bara ni eneo la Ufalme la JOHN Mnyika.Polisi endeleeni kumng`ang`ania huyo raia na kiongozi wa nchi ya Zanzibar aliyekuja kuleta uchochezi Tanzania bara na hilo kundi lake lililoungana naye huyo raia wa nchi ya Zanzibar
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] effect za kujoin losing side.Mmoja kati ya ma kamanda wa UKUTA aliyetiwa mahabusu agoma kula chakula kwa madai ya kutaka kusikilizwa kwa kesi yake.
Salum Mwalimu na wenziwe kumi na nane wamegoma kula kuanzia leo
Chanzo: Mwananchi
Jamii forum labda,hii nchi tunako enda siko mambo kama haya ndo yanajenga chuki kwenye jamii
Magufuri kafuata nini Pemba.?UZEZETA KITU KIBAYA SANA
Hivi unafikilia watanzania wa sasa ni wale wa mwaka 47 ? wengi wao ni wasomi na wanajitambua msiojitambua mko wachache mnaoishi kwa kuganga tshirt na book7Jamii forum labda,
Tena 1% only
Dhambi ya ubaguzi ni mbaya sanaZanzibar ni nchi kamili kwa mujibu wa katiba ya Zanzibar ya 2010.Huyu Salum Mwalimu ni naibu katibu mkuu wa CHADEMA wa nchi Huru na nchi kamili ya Zanzibar.Kwa nini alitoka nchini kwao kuja kuleta uchochezi kwenye nchi isiyokuwa yake? Anakuja kuingilia mambo ya siasa za ndani za nchi ya Tanzania BARA wakati Tanzania bara inaye Naibu KAtibu mkuu wake wa CHADEMA ambaye ni MHESHIMIWA sana John MNYIKA.
Yeye Salum Mwalimu KAZI ZAKE za Unaibu katibu mkuu ni Zanzibar sio Tanzania bara huku Tanzania bara ni eneo la Ufalme la JOHN Mnyika.Polisi endeleeni kumng`ang`ania huyo raia na kiongozi wa nchi ya Zanzibar aliyekuja kuleta uchochezi Tanzania bara na hilo kundi lake lililoungana naye huyo raia wa nchi ya Zanzibar
HeheeeAmefunga suna
YOUR THINKING capacity is low please rechargeHuyo anataka apewe urojo. Urojo na Simiyu wapi na wapi. Yeye aendelee kula maharage tu maana yanaongeza nguvu.
Dhambi ya ubaguzi ni mbaya sana
Poa tu.Mmoja kati ya ma kamanda wa UKUTA aliyetiwa mahabusu agoma kula chakula kwa madai ya kutaka kusikilizwa kwa kesi yake.
Salum Mwalimu na wenziwe kumi na nane wamegoma kula kuanzia leo
Chanzo: Mwananchi