Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 2,437
- 5,235
Aliyewahi kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Zanzibar Salum Mwalimu amesema milango ya maridhiano na uongozi wa chama chake hicho cha zamani iko wazi endapo utakuwa na utayari.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Mwalim ni miongoni mwa viongozi kadhaa na makada waandamizi wa chama hicho kikuu cha upinzani nchini Tanzania (G-55) ambao wamejiondoa kutokana na kile wanachodai kimekwenda kinyume na matakwa yao ya msingi, na hasa kujitenga na ushiriki wa uchaguzi wa mwezi Oktoba mwaka huu.