Game planned mkuu.hakuna kinachotokea kwa bahati mbaya hapoWamebugi Sana. Huyo hata asilimia mbili hapati. ACT watawafunika
Mwalimu siyo mtu?Wameon aibu wameua wamtngaze salum mwalimu
Makengeza mboni yupo CCM kitamboTutaona kama atabaki na uzalendo wa chama au atafuatana na upepo
Wakuu,
Leo ndo tutajua nani atachaguliwa na CHAUMMA kuwa mgombea wake wa Urais.
Kumekuwa na tetesi kuwa baada ya kutuma wanae, leo Mwamba ndo ataibuka rasmi kwenye chama hicho na huenda akachaguliwa kuwa mgombea Urais
Kaeni karibu na uzi huu kujua nini kitajiri
===================================
Kinachoendelea Chaumma Mlimani City Dar
Ni wajumbe wa mkutano mkuu maalumu wa Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) wakisalimiana na kujadiliana katika makundi kwenye Ukumbi wa Malimani City, jijini Dar es Salaam, leo Alhamisi Agosti 7, 2025.
Pamoja na mambo mengine, mkutano huo utapokea na kupitisha Ilani ya Uchaguzi Mkuu 2025/2030 na kuchagua au kumthibitisha mgombea urais wa Tanzania na Zanzibar.
View attachment 3434743
View: https://www.youtube.com/watch?v=DBvaWPPGArE
View attachment 3434805
Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Mhe. Hashimu Rungwe amewasili katika ukumbi wa Mlimani City katika Mkutano Mkuu wa CHAUMMA Kuteua Mgombea Urais wa chama hicho.
View attachment 3434821
Mwakilishi wa Chama cha Demokrasia na maendeleo ambaye pia mwenyekiti wa CHADEMA wilaya ya Mwanga bwana Lawrence Mchome katika Mkutano Mkuu wa CHAUMMA Kuteua Mgombea Urais wa CHAUMMA
Mrema kuhusu ilani ya chama
"Mrema amesema kuwa CHAUMMA kwenye ilani yake imezingatia kikamilifu mahitaji ya watu wenye ulemavu kwahiyo ilani yetu itakapotoka tunaomba muipitie"
Maduu Wiliam kilio kikubwa cha Asasi za kiraia ni ulinzi wa haki za binadamu
Ndugu Maduu Wiliam kwa niaba ya kituo cha sheria na haki za biandamu akitoa salamu katika mkutano wa CHAUMMA Amesema kilio kikubwa cha Asasi za kiraia ni ulinzi wa haki za binadamu kwa nguvu zote na ulinzi wa utawala wa sheria.
Lawrence Mchome kuhusu naibu Mwenyekiti wa CHADEMA
akiwa nje ya Ukumbi mwakilishi wa CHADEMA kwenye mkutano wa CHAUMMA Lawrence Mchome amesema kuwa amejaribu sana kumshauri Heche lakini kiongozi huyo hashauriki.
Chama cha Ukombozi wa umma CHAUMMA kimemchagua Salum Mwalimu kuwa mgombea urais
Chama cha Ukombozi wa Umma CHAUMMA kimemtangaza Salum Mwalim Juma kuwa Mgombea wao wa Urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania katika uchaguzi mkuu utakaofanyika mwishoni mwa mwezi Oktoba mwaka huu.
Hayo yamejili leo hii katika mkutano mkuu wa chama hicho unaoendelea mda huu katika ukumbi wa Mlimani City.
Siku ile anahojiwa AzamTV alipanic sana ilibakia hivi tu amkunje shati mtangazaji, facial expression ilikua inaongea pia ni shabiki wa Simba msisahau hioMwalimu siyo mtu?
Kujikuta ndiyo kufanyaje mkuu?Huyo Mwalimu anajikutaga sana. Lakini kipaji hana. Hana mvuto wa kisiasa.
Tehe tehe tehe tehe
chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kimemteua Salum Mwalimu kugombea urais wa Tanzania katika uchaguzi mkuu Oktoba 2025.
Salum alikuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Zanzibar kabla ya kuhamia CHAUMMA.
Wakuu,
Leo ndo tutajua nani atachaguliwa na CHAUMMA kuwa mgombea wake wa Urais.
Kumekuwa na tetesi kuwa baada ya kutuma wanae, leo Mwamba ndo ataibuka rasmi kwenye chama hicho na huenda akachaguliwa kuwa mgombea Urais
Kaeni karibu na uzi huu kujua nini kitajiri
===================================
Kinachoendelea Chaumma Mlimani City Dar
Ni wajumbe wa mkutano mkuu maalumu wa Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) wakisalimiana na kujadiliana katika makundi kwenye Ukumbi wa Malimani City, jijini Dar es Salaam, leo Alhamisi Agosti 7, 2025.
Pamoja na mambo mengine, mkutano huo utapokea na kupitisha Ilani ya Uchaguzi Mkuu 2025/2030 na kuchagua au kumthibitisha mgombea urais wa Tanzania na Zanzibar.
View attachment 3434743
View: https://www.youtube.com/watch?v=DBvaWPPGArE
View attachment 3434805
Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Mhe. Hashimu Rungwe amewasili katika ukumbi wa Mlimani City katika Mkutano Mkuu wa CHAUMMA Kuteua Mgombea Urais wa chama hicho.
View attachment 3434821
Mwakilishi wa Chama cha Demokrasia na maendeleo ambaye pia mwenyekiti wa CHADEMA wilaya ya Mwanga bwana Lawrence Mchome katika Mkutano Mkuu wa CHAUMMA Kuteua Mgombea Urais wa CHAUMMA
Mrema kuhusu ilani ya chama
"Mrema amesema kuwa CHAUMMA kwenye ilani yake imezingatia kikamilifu mahitaji ya watu wenye ulemavu kwahiyo ilani yetu itakapotoka tunaomba muipitie"
Maduu Wiliam kilio kikubwa cha Asasi za kiraia ni ulinzi wa haki za binadamu
Ndugu Maduu Wiliam kwa niaba ya kituo cha sheria na haki za biandamu akitoa salamu katika mkutano wa CHAUMMA Amesema kilio kikubwa cha Asasi za kiraia ni ulinzi wa haki za binadamu kwa nguvu zote na ulinzi wa utawala wa sheria.
Lawrence Mchome kuhusu naibu Mwenyekiti wa CHADEMA
akiwa nje ya Ukumbi mwakilishi wa CHADEMA kwenye mkutano wa CHAUMMA Lawrence Mchome amesema kuwa amejaribu sana kumshauri Heche lakini kiongozi huyo hashauriki.
Chama cha Ukombozi wa umma CHAUMMA kimemchagua Salum Mwalimu kuwa mgombea urais
Chama cha Ukombozi wa Umma CHAUMMA kimemtangaza Salum Mwalim Juma kuwa Mgombea wao wa Urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania katika uchaguzi mkuu utakaofanyika mwishoni mwa mwezi Oktoba mwaka huu.
Hayo yamejili leo hii katika mkutano mkuu wa chama hicho unaoendelea mda huu katika ukumbi wa Mlimani City.
Wewe binti chadema inakuumiza kichwa kuliko hata mkojo wa asubuhi.Ila Mbowe atawaunga mkono na kuwasaidia wagombea wa Chaumma na ACT-WAZALENDO. Hamna conflict of interest kwa sababu Chadema haitashiriki kwenye uchaguzi.
Amandla....
DOla inaweza kukifanya chama chote kuwa maarufu, ila loyalty ya wananchi inajulikana ilipoMiaka ya nyuma mikutano kama hii ya CHAUMMA hakuna aliyefuatilia, ghafla wamekuwa maarufu.
chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kimemteua Salum Mwalimu kugombea urais wa Tanzania katika uchaguzi mkuu Oktoba 2025.
Salum alikuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Zanzibar kabla ya kuhamia CHAUMMA.
Wakuu,
Leo ndo tutajua nani atachaguliwa na CHAUMMA kuwa mgombea wake wa Urais.
Kumekuwa na tetesi kuwa baada ya kutuma wanae, leo Mwamba ndo ataibuka rasmi kwenye chama hicho na huenda akachaguliwa kuwa mgombea Urais
Kaeni karibu na uzi huu kujua nini kitajiri
===================================
Kinachoendelea Chaumma Mlimani City Dar
Ni wajumbe wa mkutano mkuu maalumu wa Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) wakisalimiana na kujadiliana katika makundi kwenye Ukumbi wa Malimani City, jijini Dar es Salaam, leo Alhamisi Agosti 7, 2025.
Pamoja na mambo mengine, mkutano huo utapokea na kupitisha Ilani ya Uchaguzi Mkuu 2025/2030 na kuchagua au kumthibitisha mgombea urais wa Tanzania na Zanzibar.
View attachment 3434743
View: https://www.youtube.com/watch?v=DBvaWPPGArE
View attachment 3434805
Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Mhe. Hashimu Rungwe amewasili katika ukumbi wa Mlimani City katika Mkutano Mkuu wa CHAUMMA Kuteua Mgombea Urais wa chama hicho.
View attachment 3434821
Mwakilishi wa Chama cha Demokrasia na maendeleo ambaye pia mwenyekiti wa CHADEMA wilaya ya Mwanga bwana Lawrence Mchome katika Mkutano Mkuu wa CHAUMMA Kuteua Mgombea Urais wa CHAUMMA
Mrema kuhusu ilani ya chama
"Mrema amesema kuwa CHAUMMA kwenye ilani yake imezingatia kikamilifu mahitaji ya watu wenye ulemavu kwahiyo ilani yetu itakapotoka tunaomba muipitie"
Maduu Wiliam kilio kikubwa cha Asasi za kiraia ni ulinzi wa haki za binadamu
Ndugu Maduu Wiliam kwa niaba ya kituo cha sheria na haki za biandamu akitoa salamu katika mkutano wa CHAUMMA Amesema kilio kikubwa cha Asasi za kiraia ni ulinzi wa haki za binadamu kwa nguvu zote na ulinzi wa utawala wa sheria.
Lawrence Mchome kuhusu naibu Mwenyekiti wa CHADEMA
akiwa nje ya Ukumbi mwakilishi wa CHADEMA kwenye mkutano wa CHAUMMA Lawrence Mchome amesema kuwa amejaribu sana kumshauri Heche lakini kiongozi huyo hashauriki.
Chama cha Ukombozi wa umma CHAUMMA kimemchagua Salum Mwalimu kuwa mgombea urais
Chama cha Ukombozi wa Umma CHAUMMA kimemtangaza Salum Mwalim Juma kuwa Mgombea wao wa Urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania katika uchaguzi mkuu utakaofanyika mwishoni mwa mwezi Oktoba mwaka huu.
Hayo yamejili leo hii katika mkutano mkuu wa chama hicho unaoendelea mda huu katika ukumbi wa Mlimani City.
Kwaheri.Wewe binti chadema inakuumiza kichwa kuliko hata mkojo wa asubuhi.
Dola gani? Huo ni ujinga wao chadema kupenda rushwa za Abdul.DOla inaweza kukifanya chama chote kuwa maarufu, ila loyalty ya wananchi inajulikana ilipo