Saloon za kike zinawabadilisha sana tabia wanawake

Moto wa volcano

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2018
Posts
1,617
Reaction score
3,718
Nimegundua saloon za kike zinawabadilisha sana tabia wanawake huwa wanafundishana ujinga , ni nafuu mke wako umpe masharti asiwe anaenda saloon za karibu na mtaa wenu.

Mafundisho yote ya kijinga ya wanawake utayakuta kwenye saloon zao wanapeana ushetani
 
Kila wanapokaa walioshindwa au kukosa muelekeo huwadanganya wenzako
Shida pia kwa mwanamke wako anakuwa ameshakuchoka anatafuta mbinu za kukamilisha ushetani wake
Ukigundua mwanamke wako amechepuka achana nae na usimsamehe hata wakija viongozi wa dini au kimila
 
Hio ni point lakini pia maongezi yao mengi huwa sio productive utasikia sponsor. Michepuko , mbinu za kumteka bwana , mwengine atawatambia wenzake bwana wake sijui kamfanyia nn
 
Kuna wakware huenda saloon za kike kubeba mizigo sababu nyingine ndio kazi zao
Saloon ya kunyoa nywele za kwapa na kule kwa bibi eti wanatumia NTA🥳
 
Nimegundua saloon za kike zinawabadilisha sana tabia wanawake huwa wanafundishana ujinga , ni nafuu mke wako umpe masharti asiwe anaenda saloon za karibu na mtaa wenu.

Mafundisho yote ya kijinga ya wanawake utayakuta kwenye saloon zao wanapeana ushetani
Salon ni ushetani, kwa kuanzia, wapo pale kubadili maumbile ya asili na muonekano wa assili.
Unatarajia jambo jema litoke hapo
 
dah mkuu unachosema ni kweli kabisa..... wife ana saluni ya kike kipindi fulani tuliamua tuweke kamera haikua ndani ila mara nyingi wife alikua akisikiliza yanayoendelea anawapata vyema...... mda mwingine wanajisahau wanamsema wife mda mwingine wanaongea vitu hadi unaogopa..... naenjoy sana kusikiliza wanayoongea mda mwingine nakaa na wife namwambia siku huyo dada akijua yanayoongelewa tunasikia basi ajiandae kutafta mtu mwingine maana anajimaliza sana asee lazima ataondoka maana ni aibu tupu......

ashawahi simulia akinyanduliwa mpka akajamba 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 nilicheka sana
 
Kila wanapokaa walioshindwa au kukosa muelekeo huwadanganya wenzako
Shida pia kwa mwanamke wako anakuwa ameshakuchoka anatafuta mbinu za kukamilisha ushetani wake
Ukigundua mwanamke wako amechepuka achana nae na usimsamehe hata wakija viongozi wa dini au kimila
Yani mi mwanamke akishakubali kuvuliwa nguo ya ndani na mwanaume mwingine hiyo kwangu haiwezi kuwa bahati mbaya au kosa la kwanza hiyo ndo amejiondoa rasmi kwenye himaya yangu, mimi binafsi nitatafsiri hilo jambo ni kama kashfa kwangu na kuona kwamba amefanya hivyo ili ajipatie tiketi ya kuachana na mimi hivyo nitampa uhuru autakao hata aje nani hawezi kunibadili maamuzi yangu
 
Hata mawasiliano nae kata kabisa hata ukikuta amegongwa na bodaboda mbele yako jifanye kama hujamuona sepa
 
Kumbuka wanaoenda sana salon ni wanawake ambao tayari wameshavurunda mahusiano yaliyopita,kwahiyo wanakuwa na ill feeling ya wanaume,sasa wale wasiojilewa huwa wanayadaka na kuyapeleka kwenye nyumba zao...
 
Back
Top Bottom