Jese Pinkman
JF-Expert Member
- Mar 5, 2014
- 661
- 338
The risk is very very minimal, why? Kuna tafiti kadhaa zimefanyika na kuona mambo haya. 1/Kirusi cha Ukimwi kinakuwa hai ndani ya Damu mbichi, maji maji ya mwilini nk. Hivyo ili maambukizi yatokee inabidi mashine ya kunyoa imkate mtu na iwe na damu mbichi na ya kutosha then muda huo huo ikamte mtu mwingine kwa kina kidogo...
Nilitaka kuuliza hilo swali ila baada ya kusoma hapa sina haja ya kuanzisha threadThe risk is very very minimal, why? Kuna tafiti kadhaa zimefanyika na kuona mambo haya. 1/Kirusi cha Ukimwi kinakuwa hai ndani ya Damu mbichi, maji maji ya mwilini nk. Hivyo ili maambukizi yatokee inabidi mashine ya kunyoa imkate mtu na iwe na damu mbichi na ya kutosha then muda huo huo ikamte mtu mwingine kwa kina kidogo...
kirusi hakifi mzee bali kinakuwa "inactive" kikiwa nje ya damu/maji majiThe risk is very very minimal, why? Kuna tafiti kadhaa zimefanyika na kuona mambo haya. 1/Kirusi cha Ukimwi kinakuwa hai ndani ya Damu mbichi, maji maji ya mwilini nk.....Hivyo ili maambukizi yatokee inabidi mashine ya kunyoa imkate mtu na iwe na damu mbichi na ya kutosha then muda huo huo ikam.
Kwahiyo nini mtazamo wako juu ya hiyo mada?kirusi hakifi mzee bali kinakuwa "inactive" kikiwa nje ya damu/maji maji
kirusi hakifi mzee bali kinakuwa "inactive" kikiwa nje ya damu/maji maji
kirus hakifi mzee kama kinakufa bas leo hii ukimwi usingekuwepo. kirus ana uwezo wa kufanya mutation ili asidhurike na dawa yyte ambayo inamjia kwa wakati husika. ndo mana unaambiwa hakuna dawa ya kirus. (japo kuna research znafanyika huenda wakagundua/washagundua dawa)Kirusi kinauwezo wa kufa boss kama hakipo mazingira salama na ndo maana kina muda wake wa kukaa nje ya damu au mazingira yanayokisapoti.
kama ukikatwa na mashne ambayo previously ilimkata mtu mwathirika bas kuna uwezekano mkubwa wa ww kuathirika piaKwahiyo nini mtazamo wako juu ya hiyo mada?
Ingekuwa ukimwi unaambukizwa kirahisi hivyo zaidi ya 90% tungekuwa nao, mimi nimekatwa maranyingi tu napokuwa hizi saloon za kitaa ila sijapata huo ugonjwa, nafikiri Zanzibar-ASP yuko sahihikama ukikatwa na mashne ambayo previously ilimkata mtu mwathirika bas kuna uwezekano mkubwa wa ww kuathirika pia
NB..mm sio daktar lakn nazungumza haya kutokana na tulivofundishwa shule.
kirus hakifi mzee....kama kinakufa bas leo hii ukimwi usingekuwepo. kirus ana uwezo wa kufanya mutation ili asidhurike na dawa yyte ambayo inamjia kwa wakati husika. ndo mana unaambiwa hakuna dawa ya kirus. (japo kuna research znafanyika huenda wakagundua/washagundua dawa)
sawaIngekuwa ukimwi unaambukizwa kirahisi hivyo zaidi ya 90% tungekuwa nao, mimi nimekatwa maranyingi tu napokuwa hizi saloon za kitaa ila sijapata huo ugonjwa, nafikiri Zanzibar-ASP yuko sahihi
hebu tuanzie nyuma kidogo,,is virus a living or non living organism? ukinijib hili swali tuendeleeAcha ubishi mkuu kirusi huwezi kukiua kikiwa ndani ya damu tu lakini kikiwa nje kinakufa bila shida.
hebu tuanzie nyuma kidogo,,is virus a living or non living organism? ukinijib hili swali tuendelee
hebu tuanzie nyuma kidogo,,is virus a living or non living organism? ukinijib hili swali tuendelee