Salome: Diamond Platnumz ft Rayvanny - General Views

Wanakodoa kodo team kibakuli wanakodoa kodo [emoji102] wenye wivu wajinyonge team kibakuli macho kuvimba wataisoma
 
Wanakodoa kodo team kibakuli wanakodoa kodo [emoji102] wenye wivu wajinyonge team kibakuli macho kuvimba wataisoma
mimi sio team kiba hata kidogo mimi ni team mond halafu humu tunajadili mada kwa mapana yake sio kwa jazba uswahili peleka insta mkuu
 
halafu siku hizi wameanza kutoa macover kama bongo movie...!
 
AJE ya KING KIBA inamchanganya sana MONDI hadi usingizi hapati naona anatoa toa nyimbo ovyo mara na papa wemba mara atumie beat ya french montana mara atoe salome yaani jamaa anahaha na AJE STILL IKO HOT
 
kwl wAtz hatuna akil na kuendelea ni ngumu...kla cku ni majungu tu ilimrad m2 aonekane hawez
 
Nyimbo nzuri. Raymond bado anaonekana kuwa genius katika kuandika mashairi(nimependa sana mashairi yake yametulia sana).Nimependa zile tafsida walizotumia kwenye mashairi yao.
Lakini video ni kali though uvaaji na uchezaji hauendani na asili ya nyimbo ( labda kwa sababu saida alitoa katika lugha ya kihaya). All in all this dude is creative.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…