Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,190
- 128,264
Kiukwelii Hakukuwa na ulazima wa wewe kuupenda.Aiseee ni mbaya sana kiukweli sijaupenda hata chembe
kutazame utaupendaHii nyimbo ni nzuri tu bila hata chenga ila itapendeza kama video itakuwa ya mahadhi kama ya nyimbo yenyewe na ichezwe kama kwa miondoko ile ile ya kihaya
Wenye wivu wajinyonge wenye wivu wajinyongeKiukweli huu wimbo mpya wa diamond na Raymond hapana kabisa.
Raymond namkubali Sana kwa tungo zenye akili BT hii melody haifanani na viwango vya diamond
Au ndo kutoa kwa mashindano tu pasi na kujali itoke ipi
Mmh!!!!! [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Kiukweli huu wimbo mpya wa diamond na Raymond hapana kabisa.
Raymond namkubali Sana kwa tungo zenye akili BT hii melody haifanani na viwango vya diamond
Au ndo kutoa kwa mashindano tu pasi na kujali itoke ipi
Mmh!!!!! [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Nimejarib kuiskiza hii nyimbo Raymond amemfunika bosi wake
Tuachane na ushabiki diamond atabakia kuwa na sifa ya kumfufua na kujua kipaji cha dgo lakin dogo kamfunika vibaya
Well done Raymond