joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 19,401
- 41,524
Mondi anaweza hadi siyo vizuriHahaha
Saida sasa ahakikishe nayeye anarudi kupitia hapo hapo
*Wimbo mkali kishenzi
Ila domo anaweza jaman
mimi mjumbe tuUmetoa tuhuma umeendesha kesi na umetoa hukumu hapo hapo [emoji144] [emoji144]
Ki ukweli naendelea kuiskikza hapa wimbo umenikoshaMondi anaweza hadi siyo vizuri
Mmh haya [emoji124] [emoji124] [emoji124]mimi mjumbe tu
anaweza wakati kakopy? aje na vitu vipya kama aje ya kibaKi ukweli naendelea kuiskikza hapa wimbo umenikosha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]anaweza wakati kakopy? aje na vitu vipya kama aje ya kiba
Utalazimishiwa kwa kupigwa kila Mara na video Kali itarudiwa kila saa utajikuta umeiona nzuri..Aiseee ni mbaya sana kiukweli sijaupenda hata chembe
Mkuu lini hiyo harusi nije!?Naona simba anaanza kuwatetemesha.....!
Safi saana simba huu wimbo lazima upigwe kwenye harusi yangu !