Salome: Diamond Platnumz ft Rayvanny - General Views

Ni kosa la jinai msanii kucopy kazi ya mwenzio, hapo adhabu itakua si chini ya 700 millions
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] mimi nimecopy wimbo wa taifa. uchumi wangu ni $3 kwa siku. [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
 
Ni miaka zaidi ya 2000 sasa yesu bdo anaishi kwa baba yake,itakua kiba
 
Sasa hivi youtube viewers 644,000 ndani ya siku moja na nusu na nahisi ndani ya siku tatu, itakuwa ishafikisha 1M.
 
Napenda vitu vya asili ili hongera sana kwa hao wakina dada wakata viuno, wamenishtua gafla wanavyotupa mawe kwa mbali, Mungu kaumba bwana
 
Kanichambua kama karanga mama. Chambua kama karangaaa
Good morning mabibi na mabwana. Inatia moyo sana kuona msanii kutoka bongo land anaweka rekodi na kuivunja mwenyewe. Mpaka sasa hakuna msanii yeyote barani afrika ambaye Video zake zinatizamwa na watu wengi ndani ya muda mfupi kama Mondi Platnumz.

Sio kuwa tunajivunia Viewers ila tunajivunia Mziki wetu kutoboa zaidi Anga za kimataifa.
Japo kuna watu wachache walioanza kuleta chokochoko na kutaka wimbo huu mpya ufungiwe kwa madai ya kutokuwa na maadili ila wengi wetu tunampongeza kwa ubunifu na kumsaidia Bi Saida karoli kurudi tena masikioni mwa watu. Binafsi baada ya kusikia wimbo huu niliamua Kudownload na wimbo wa Saida karoli ili nione kama ameutendea haki wimbo huo.

Hongera Diamond platnumz na tunatarajia leo Tutahit 1M viewers ikiwa ni siku ya pili baada ya Salome Kufufuliwa.
Ujumbe wa leo " WENYE WIVU WAJINYONGE"
[HASHTAG]#mckonjetv[/HASHTAG]
 
BASATA wawe fair tu......wasimwonee mtu wala kumpendelea!
 
Ongera san mond platinum.. Simbaaaaa.
 


Kwaiyo tufanyeje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…