Salome: Diamond Platnumz ft Rayvanny - General Views

Kumbe tushakubaliana kwamba ni cover!!!
Kama umekubaliana sawa na hii siyo cover ni kukopi na kupesti aiseeeee
Huhuhuuuuuu[emoji473][emoji473][emoji473][emoji473][emoji125][emoji473][emoji125][emoji125][emoji125][emoji473][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji473][emoji473][emoji125][emoji125]
 
mboga 7 na jike shupa mbona wameshndwa kuzizima
Hahaa huyo anayesema kuziziba kichwan atakua na zero
Mtu unaanzaje kumzibia mwenzio ridhki? Team nyingne wanatapatapa jamaniii
Kwann azimiww?kama kafanya vizuri zaidi asipendwe?ye baraka kama kafanya kituko kitajizima automatic
 
Kachacha huyo hana tena jipya. Baba lao the King of the Kings in Bongo Flava Ali K.
 
Hahaa huyo anayesema kuziziba kichwan atakua na zero
Mtu unaanzaje kumzibia mwenzio ridhki? Team nyingne wanatapatapa jamaniii
Kwann azimiww?kama kafanya vizuri zaidi asipendwe?ye baraka kama kafanya kituko kitajizima automatic
KWELI KABISAA DEAR
 
 

Attachments

  • Screenshot_2016-09-19-09-39-40.png
    135.4 KB · Views: 47
kwel mti wenye matunda,....uongozi wa Dai na Saida wote wamekaa na kukubaliana hili,na manager wa Saida ametoa baraka zote ktk remix hii,so hkn kupelekana mahakamni wala nn,relax team ......
 
MSANII KUFANYA COVER NI KUISHIWA
 
hapo kwa muta ndio walipowaweza watu maana teamfulan ilikua lazima waje hapa kuanza kusema maana kuna mwanasheria wa kujitolea alishasema ataenda mahakaman
 
Habari wanajf!!
Mimi ni jirani wa ali kiba (msanii anayeishi kwa mama na kula ugali wa shikamoo).
Nadhani inafahamika kuwa mdogo wetu ali kiba ni kula kulala,asubuhi hii nimeskia ali kiba anaplay ngoma ya salome ilyo kuwa released na msanii wa karne simba vampire hivyo nimeshawishika kuamini kuwa ali kiba ni fan wa simba....
 
Wasubiri hapo hapo wanakuja........
 
Mbona husemi kuwa wewe ni-marioooo?????
 
Kiba hawatoki midomoni mwenu eb mwacheni kaka wa watu
 
hongera mkuu kwa kuwa jirani na kiba endelea kusubiri mitusi ya team yake inakuja soon
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…