Salome: Diamond Platnumz ft Rayvanny - General Views

Mavazi ya Kitanzania ndio yapi hayo?!Maana nasikia mpaka leo kuna mchakato wa vazi la taifa
Ukipatiwa jibu la maana toka kwa yeyote naomba uni-tag nije kupata ilmu! Namkumbuka ndugu yetu mmoja alivaa vazi la Kimasai akidhani anaitangaza Tanzania kumbe mbele ukivaa vazi la Kimasai wanafahamu wewe ni Mkenya!!!
 
tangu jana usiku hadi sasa hivi nimeiangalia mara 50 na bado naendelea.....
usije bebi ukanicharanga
..ukauchambua moyo kama karanga
..mie bebi kwenye msambwanda huwa ngenge ni nganganga!!
 
Habari wanajf!!
Yule msanii wakitambo saida kaloli kaachia wimbo wa salome kwa mara ya pili,japo sijaupenda sana kama ule originale wa Miaka hiyo...
Note: kwa mwendo huu saida kaloli hato rudi kwenye gemu tena.
😀😀😀😀😀 Watu mnavijembe vya hatari!
 
Sijaona jipya hapo alilofanya sanasana nimemkumbuka saida Karoli tu, maana kungekuwa na sheria kali za hati miliki sasa Domo angekuwa mahakamani na saida angekuwa anatajirika kwa fidia ambazo angelipwa.
 
Sijaona jipya hapo alilofanya sanasana nimemkumbuka saida Karoli tu, maana kungekuwa na sheria kali za hati miliki sasa Domo angekuwa mahakamani na saida angekuwa anatajirika kwa fidia ambazo angelipwa.
We ndo wala haielekei ikiwa haya mambo unayafahamu!!!!
 
Mkuu kwa dunia ya sasa ni kawaida sana kurudia au kuiga nyimbo za zamani.wamarekani wana sample nyimbo za zamani kila kukicha.as long as ana kibali kutoka kwa msanii husika
 
AJE ya KING KIBA inamchanganya sana MONDI hadi usingizi hapati naona anatoa toa nyimbo ovyo mara na papa wemba mara atumie beat ya french montana mara atoe salome yaani jamaa anahaha na AJE STILL IKO HOT
Duh, wa bongo nyinyi, hamchoki, kusema, wivu kibao, majungu kibao, nani kawambia domo kaiba?...... , tuletee data base yenye ukweli, katika wimbo wa darasa, wa "too much" wa bongo wanamaindisha mambo madogo wanaweza kukufelisha hata michongo, wengine wanakupenda ukisepa, yaani nani rafiki?...... nani adui.....? Leo katka kipindi cha busati, nimesikiliza, watangazaji wakizungumzi this diamond new song, wamesema kwamba kuna makubaliano kati ya diamond na manager wa saida karori. Sasa ww hayo ni majungu alafu usiwe na majungu, kaimbe na ww, si kunafree chance hata ww kufanya hivyo.
 
mbona manager wa saida ameonekana na Diamond wakipeana mikono ya baraka?
mbona Saida kamshukuru Diamond?
 
Sijaona jipya hapo alilofanya sanasana nimemkumbuka saida Karoli tu, maana kungekuwa na sheria kali za hati miliki sasa Domo angekuwa mahakamani na saida angekuwa anatajirika kwa fidia ambazo angelipwa.
wamekubaliana mbona?
 
aisee diamond yupo mbali sana hongera zake huyu kijana ni.mfano wa kuigwa anafanya sanaa vizur na anaitendea haki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…