Salmin Amour ni buheri wa afya?

Salmin Amour ni buheri wa afya?

babu M

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2010
Posts
5,222
Reaction score
3,176
IMG_5416.JPG

Inaonekana kama Hamad anampiga jeki mkono
 
IMG_5416.JPG

Inaonekana kama Hamad anampiga jeki mkono

Inasikitisha, Hamad anamshika mkono kumwongoza uliko mkono wa Rais, maana Komandoo haoni vizuri. Huwezi kuamini hali kama hii mapema mno, kwano amekuwa rais kijana sana na mwenye siha kwelikweli.

Wanaokumbuka ametokea kwa vijana kama ilivyo Emmanuel Nchimbi na kuibukia kwenye urais. Leo hali hii, Mungu amrehemu.

Huyu Salmin ni kijana zaidi sana kuliko Hamad, na Salmin alifanya mbinu kumpiku Hamad ndipo ilipoibuka vita katika ya Hamad na CCM na kuishia kuachia ngazi, leo hii Hamad badala ya huzuni anapata simanzi ya huruma.

Tatizo jingine uheshimiwa nao umezidi mno kwa viongozi wa kiafrika. Wenzetu wakishaacha madaraka hurudi kwenye ranch zao wakizunguka na farasi, sisi ni ndani hadi mikono kabla na baada ya kula kunawishwa.
 
Chezea CCM weye? Mzee keshapoteza sight na mama kishamtoroka long kitambo. Komando poteza kabisa
 
Back
Top Bottom