Wawili hawa ni wake wa marafiki wawili ambao ni Jakaya Kikwete na Eduard Lowasa.
Salma aliingia katika kampeni na kumsaidia mno mumewe kwa kutembea nchi nzima huku akiomba kura kwa kutumia neno "Mume wangu" ingawa wakati huo kuna watu walikuwa wakimshambulia Jakaya kwa baadhi ya tabia zake lakini Salma hakuvunjika moyo na akapata alichopigania, first lady kwa miaka kumi.
Regina alijitokeza wakati mumewe alipohamia CDM na akafanya kazi kubwa ya kumnadi mumewe pamoja na matusi mazito mpaka ya nguoni, hakuvunjika moyo ingawa hakufanikiwa kuwa first lady.
Baada ya uchaguzi CDM katika kuenzi jitihada za Regina walidhamiria kumpatia Ubunge wa viti maalum lakini alikataa
Salma baada ya miaka kumi ya u first lady na kuwa katika pension ya u rais amekubali uteuzi wa ubunge.
Tujadili bila matusi wala kashfa,karibuni waungwana.