...mimi sijawahi kuanzisha thread kwa ajili ya salima...or whatever is called..ila nakumbuka huko nyuma kwenye mchango wangu nimepata kuongelea ...watu kukalishwa foleni bila sababu kwa ajili ya kupisha msafara wa salma...nilieleza kuwa hii siyo vema kwa kuwa ..haina sababu zaidi ya kuleta usumbufu...kuna haja gani ya msafara wa mke wa rais kuwa na magari matano na piki piki ...haina haja zaidi ya kumuharibia mumewe...kwani hana nafasi kwenye katiba....hilo sioni aibu kulisema popote.....LAKINI KWA KUWA MIMI NILISHAPATA KUTOA MAONI HAYA HAPO NYUMA ..HAIMZUWII MTU KUANZISHA THREAD......tena anaweza kuwa ameanzisha pasi kujua hili limepoata kuongelewa kwenye michango ya kwaida.....afteral mimi niliongelea usumbufu wa misafara yake..wala sikuwa specific kuwa anaenda saloon..kwani lazima atakuwa na safari nyingi tu...hatuzijui..anaweza kwenda kimya kimya....
umeongelea first ladies waliopita......????...sijapata kuona msafara wa MAMA MARIA...MAMA SITTI..AU BI MKUBWA WAKE...MAMA MKAPA ets.....Wote hawa walikuwa first ladies na walikuwa wakipita pasi msafara...zaidi ya kuwa na mlinzi garini ..mwenye radio call...kumsaidia pale anapokwama hata kwenye foleni anauwezo wa kuwasiliana na traffic control...na line aliyopo magari yakaruhusiwa....bila watu kulazimika kusimama pembeni...
viongozi stahili kutuweka pembeni wanapopita ni....RAIS ,MAKAMU WA RAIS,WAZIRI MKUU ,RAIS WA ZANZIBAR,WAZIRI KIONGOZI[naibu waziri mkuu au naibu waziri kiongozi..ikibidi],marais wastaafu wa MUUNGANO-motorcade ya kudumu,[rais mstaafu wa zanzibar ..anapewa motorcade mara anapostaafu na huendelea kupunguzwa hadi kuondolewa kabisa..the same to prime ministers]....hao kina salmin,jumbe,msuya,salim,warioba,lowassa,sumaye,kawawa..tunapishana nao tu....na tunasubiria taa kama wengine......
wakuu wa vyombo vya usalama kama mkuu wa majeshi na mnadhimu mkuu.,mkuu wa polisi,TISS,prison ...wanatemebea na msafara wa gari mbili au tatu ...[msafara bubu.....yaani magari yao huruhusiwa pale yanapokumbwa na foleni...automatically hawakai foleni..lakini mwananchi wa kawaida hataweza kugundua...unless otherwise!!!!!
.....sasa sijui unasemaje hapo kuhalalisha muda wa wananchi kupotea barabarani....hii haihusiani na chuki ..as i said ..i have no reason to care about...bali ni kuhusu uhalali wa misafara isiyokuwa na sababu....zaidi ya ufahari....
anasababisha foleni kwa misafara yake ya saloon period! na ukashauri kwa kuwa soon ataenda labor ni kheri apumzike.
Habari za Mama Maria, Bi Sitti ni pumba ambazo I will let it crumble under the weight of its own irrelevant!
..................why would you call the news of maria,sitti,khadija,anna..irrelevant...were"t they first ladies..or you think the incumbernts one the special and the blessed one unlike predecessors....acha hizo!!!...fafanua una maana gani...unless otherwise you are the next to kin....
....kuhusu labor....would somebody serious take that serious..afteral or unless you are her husband or something like that or familly doctor.................siku hizi hata wanawake wanaweza kuwa na parabola bells...kama zetu wazee...na hata vijana...sasa kwa mtu wa nje mwanamke akinona unaweza simply ku comment ..mimba..lakini mwanamume huwezi ku capitalize on that unless unahusika na huo mzigo....neverthless kwetu waswahili hiyo si offend bali ni baraka as long mwanamke bado anakizazi[hajafikia menopause] yupo eligble...kudhaniwa hivo...lakini mwenye jibu muafaka hubakia mumewe au doctor wake...and that is not abnormal tumeona ladies kama cherrie blair wakpata watoto na ikawa cool...PERLIN running mate wa mcain..alipata mwanawe wa mwisho mwaka jana akiwa gavana wa jimbo lake..na sasa ananyonyesha while anafanya kampeni za urais...it was nt bad to guess her of that rather a blessings...to them or any couple would like...and i dont think that is up for debate.....
nadhani put above off..tukibaki kwenye hoja ya msingi....nadhani umekubali kuwa hayupo entitled na zaidi hii haimnufaishi muhashimiwa zaidi kumuharibia...kwa misappropriation of resources[both time,human,and financial]....anaweza kutembea na msafara bubu wa gari lake ....na akapita kadiri apendavyo bila kuleta outcry zisizo na msingi.....nadhani hata kwenye nchi zilizo endelea VIP ambao hawapo entitled kwa motorcades hupitishwa kimya kimya ...na watu wasipojua waala hawalalamiki.
nadhani tumeelewana kwenye mambo ya msingi....
Mama Maria, Bibi Sitti I will vote for who care!
................sijakuelewa hapo mkuu kuhusu mama zetu hawa
If this is true kwa nini Ikulu hawamtafutii a dedicated beautician? Kwenda salon za kawaida kunaweza kusababisha mengi tu zaidi ya dada na mama zetu wengine kucheleweshwa
KUNAMSAIDIA AWASILIANE NA KALE KANGAST CHAKE JAMANI !!!MBONA MZEE ANARUKA KILA SIKU NA KIMADA NA ANATANGULIZWA HAMUOENGEI???????VIPI NYIE KWANI SALMA ATAKI KUCHECKIWA ENGINE YAKE JAMANI?????NANI ANAWEZA ENDESHA GARI BILA SERVICE HUU NDIO MUDA WENYEWE SAALOOOOOOOOOOOOOOOOOOnnnnnnnnnnnnnniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Simply mean I dont give a damn
...........sasa mimi i care and love mama maria,sitti,khadija,anna......nawaheshimu hawa infact ..kuhusu issue ya kutupotezea muda mjini kwao haikuwapo...wala hawakuwa waanasiasa na kuhangaika kugombea political posts......
Salma anagombea "political post" ipi?
.......................Hivi umelelewa na wazazi au umelelewa katiaka vituo vya watoto wa mitaani.Kama ni mtu mwenye heshima zako usingediriki kusema hayo.
.............umeongelea first ladies waliopita......????...sijapata kuona msafara wa MAMA MARIA...MAMA SITTI..AU BI MKUBWA WAKE...MAMA MKAPA ets.....Wote hawa walikuwa first ladies na walikuwa wakipita pasi msafara...zaidi ya kuwa na mlinzi garini ......
Umezunguka sana, kwa ufupi umekubali ni kweli umesema hii habari before na kukumbusha specifically umesema anaenda saloon lakini leo kwa ujasiri mkubwa hilo la saloon unalikataa eeh. Fine cha msingi umekubali ulisema hili suala sio kuanzisha thread as long as umekubali ulisema kwangu is more than enough. Labda kukumbusha pia ulisema huyu mama soon ataenda labor bora atulie sehemu sasa vp mbona miezi inakatika hakuna dalili mkuuau na hili pia utakataa hukusema?
Hizo blah blah za stahiki ya nani awe na escort nani asiwe is debatable na mimi wala sisemi anastahiki au hapana point yangu ilikuwa na itaendelea kuwa ulisema kuwa huyu mama anasababisha foleni kwa misafara yake ya saloon period! na ukashauri kwa kuwa soon ataenda labor ni kheri apumzike.
Habari za Mama Maria, Bi Sitti ni pumba ambazo I will let it crumble under the weight of its own irrelevant!
Hii si kweli, kumbukumbu zangu mama Anna Mkapa na mama Sitti Mwinyi walikuwa na escot ya pikipiki ya police na walikuwa wanapishwa njia sikuzote. Mama maria Nyerere ilikuwa tofauti
Mimi ninaona umevuka mpaka kwa kueleza hayo.Hivi umelelewa na wazazi au umelelewa katiaka vituo vya watoto wa mitaani.Kama ni mtu mwenye heshima zako usingediriki kusema hayo.
You are kidding. Right?Cheo ni dhamana! Sasa naona mnaenda pabaya. 1.Wakina mama si unajua satisfaction yao ni nini? 2.Wanawake ni kikwazo sana ukiacha mama zetu tu waliotuzaa, lakini hata ushahidi 3.ukimwuliza baba vizuri kabisa appraisal ya mama utajuta na unaweza usioe kama unataka kuoa! Ni noma hadi leo hii 4.hakuna mwanamme au mwanamke anayejua haswa katika maisha nini mwanamke anataka au kuhitaji na ukimpatia tu akae kimya. No and Never known to anyone. 5.They are very likely a double standard creatures. Even you ask them they say it is.
6.Wanawake wote wangekuwa kama wanaume huku duniani tungeishi kama malaika. Ujambazi, matukio yote ya kutisha, ufisadi nk. yote yanafanyika ili haswa kumridhisha mwanamke baada ya kutokuelewa nini haswa mwanamke nahitaji.
Wanafalsafa wa kale walielewa kuwa mwanamke anahitaji control ya mwanamme na aaliye tough n rough. But wapigania sijui haki za wanawake pia nao hawajui mwanamke anahitaji nini haswa akipatiwa katika level ya even familia 7.akae kimya. No they know not. Abishae aweke madonge yake hapa.
..aligombea ujumbe wa mkutano mkuu wa taifa mkoa wa LINDI....alishinda ....
she comes down in history as the first sitting first lady to vie for a political post in tanzania....check your records!
...customery its known that a first lady doesnt need a political post as ...she is not bound to be affiliated to any specific area of the country ,,ie lindi,ilala or any....she is supposed to be maam taking care of the presidency on behalf of all mamas and tanzanias in general.....that was a thumb down ..really...afteral all top brass..current and previous[even those expired] there wives are invited to attend the party general meeting as observers....sana sana yeye ataruhusiwa ku vote but huwa inambidi atoke mbele kukaa na wake wa viongozi wenzake na kurudi kukaa na wajumbe wa LINDI...wale wake za viongozi waliokaa mbele inaleta maana zaidi kitaifa...
itakumbukwa kuwa rizwan kikwete alitumia naye haki yake bagamoyo along na baba yake mdogo yusufu kikwete ....kuwakilisha kwenye mkutano mkuu....
na wewe mshamba tu kazi yako kuangalia nani alisema nini unabore
Kavunja sheria ipi kwa kugombea ujumbe wa ccm Lindi?
Hii si kweli, kumbukumbu zangu mama Anna Mkapa na mama Sitti Mwinyi walikuwa na escot ya pikipiki ya police na walikuwa wanapishwa njia sikuzote. Mama maria Nyerere ilikuwa tofauti
tangu mwanzo hatukuwa tunaongelea uvunjaji wa sheria kaka...wewe uliuliza amegombea political post gani nikakujibu.......