PreGE2025 Salma Kikwete: Mchinga Wamesema Ubunge Mpaka Nichoke Mwenyewe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
36,356
Reaction score
23,760
Ndugu zangu Watanzania,

Huo ni ujumbe wa Mheshimiwa Salma Kikwete Mke Wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Mheshimiwa Daktari Jakaya Mrisho Kikwete. Ambapo amesema ya kuwa wana Mchinga wamemwambia ya kuwa Ubunge wa Mchinga ni mpaka achoke mwenyewe kuongoza.

Hii ikiwa na maana ya kuwa yeye ndiye mweny hati miliki ya jimbo hilo alilokabidhiwa na wananchi wenyewe. Kwa hiyo watia nia na mliokuwa na matamanio au malengo au dhamira ya kugombea jimbo hilo . Inapaswa mjipime kwanza na kupima kina cha Maji.

Mkumbuke mnakwenda kushindana na mzito na anayependwa ,kukubalika na kuungh wa mkono na wananchi wapiga kura. Endeleeni kumuunga mkono Mheshimiwa Mbunge Mama Salma Kikwete Firstlady wetu mstaafu. Mama machachari kwelikweli aliyeiva katika medani za kisiasa na Siasa.

Kwa kila jambo na majira yake na wakati kwa kusudi maalum chini ya Mbingu.
Screenshot_20240702-020232_1.jpg
y
Screenshot_20250626-114124_1.jpg

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
 
Wewe Chawa Lukas, ulikuwa chawa wa Mama baada ya mkeka kutoka na wewe kutupwa humu🚮 umeamua kuwa Chawa rasmi wa familia ya Kikwete.Ulianza na CV ya Ridhiwani na Sasa upo na Mama ake Ridhiwani.Wewr kifo chako kitakuwa Cha Mdomo wazi.Mauti itakukuta ukiwa unashangaa yaani utoamini kitachokupata.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Huo ni ujumbe wa Mheshimiwa Salma Kikwete Mke Wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Mheshimiwa Daktari Jakaya Mrisho Kikwete. Ambapo amesema ya kuwa wana Mchinga wamemwambia ya kuwa Ubunge wa Mchinga ni mpaka achoke mwenyewe kuongoza.

Hii ikiwa na maana ya kuwa yeye ndiye mweny hati miliki ya jimbo hilo alilokabidhiwa na wananchi wenyewe. Kwa hiyo watia nia na mliokuwa na matamanio au malengo au dhamira ya kugombea jimbo hilo . Inapaswa mjipime kwanza na kupima kina cha Maji.

Mkumbuke mnakwenda kushindana na mzito na anayependwa ,kukubalika na kuungh wa mkono na wananchi wapiga kura. Endeleeni kumuunga mkono Mheshimiwa Mbunge Mama Salma Kikwete Firstlady wetu mstaafu. Mama machachari kwelikweli aliyeiva katika medani za kisiasa na Siasa.

Kwa kila jambo na majira yake na wakati kwa kusudi maalum chini ya Mbingu.View attachment 3384352yView attachment 3384353

UBINAFSI/UCHOYO WA MADARAKA WAKATI HUNA UWEZO. HAWATAKI KUSHINDANISHWA, UKIGOMBEA NAYE UNATEKWA
 
Wewe Chawa Lukas, ulikuwa chawa wa Mama baada ya mkeka kutoka na wewe kutupwa humu🚮 umeamua kuwa Chawa rasmi wa familia ya Kikwete.Ulianza na CV ya Ridhiwani na Sasa upo na Mama ake Ridhiwani.Wewr kifo chako kitakuwa Cha Mdomo wazi.Mauti itakukuta ukiwa unashangaa yaani utoamini kitachokupata.
Mungu akusamehe sana ndugu yangu
 
Ndugu zangu Watanzania,

Huo ni ujumbe wa Mheshimiwa Salma Kikwete Mke Wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Mheshimiwa Daktari Jakaya Mrisho Kikwete. Ambapo amesema ya kuwa wana Mchinga wamemwambia ya kuwa Ubunge wa Mchinga ni mpaka achoke mwenyewe kuongoza.

Hii ikiwa na maana ya kuwa yeye ndiye mweny hati miliki ya jimbo hilo alilokabidhiwa na wananchi wenyewe. Kwa hiyo watia nia na mliokuwa na matamanio au malengo au dhamira ya kugombea jimbo hilo . Inapaswa mjipime kwanza na kupima kina cha Maji.

Mkumbuke mnakwenda kushindana na mzito na anayependwa ,kukubalika na kuungh wa mkono na wananchi wapiga kura. Endeleeni kumuunga mkono Mheshimiwa Mbunge Mama Salma Kikwete Firstlady wetu mstaafu. Mama machachari kwelikweli aliyeiva katika medani za kisiasa na Siasa.

Kwa kila jambo na majira yake na wakati kwa kusudi maalum chini ya Mbingu.View attachment 3384352yView attachment 3384353

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Jitahidi hii familia ya Kikwete uwazalie mtoto maana siyo kwa kujikomba huku.
 
Huyu mama kipi anafuta ambacho hana?
 
Mchango wake ni kuwashukuru wenza wa viongozi!!!
 
Back
Top Bottom