Salma kikwete ana hisa kwenye shule ya kituruki Dar es Salaam

haya ni majungu wana jf wenzangu,hebu tufanye kazi tuboreshe maisha yetu.wana falsafa wanasema kuwa watu wenye akili finyu hutumia muda wao mwingi kujadili na kuzungumzia maisha ya watu lakini watu wenye akili nyingi hupanga na kutafakari kuhusu maisha yoa na jinsi ya kuyaboresha.je sisi tupo kwenye kundi gani? alieleta hii thread atafakari na atujibu
 
Kila mtu anaruhusiwa kumiliki chochote kile hapa Tz na Hata nje. Kesho mtakuja kusema anamiliki Precision na NMB. Wakati hisa zinauzwa tena bei chee! Haya za Precision hizo kwa shs 475 tu! Mkanunue sasa!
 
Hii familia ya Jk itapata taabu sana siku nchi hii ikishikiliwa na Wapinzani wa kweli.
 
haya ni majungu wana jf wenzangu,hebu tufanye kazi tuboreshe maisha yetu.wana falsafa wanasema kuwa watu wenye akili finyu hutumia muda wao mwingi kujadili na kuzungumzia maisha ya watu lakini watu wenye akili nyingi hupanga na kutafakari kuhusu maisha yoa na jinsi ya kuyaboresha.je sisi tupo kwenye kundi gani? alieleta hii thread atafakari na atujibu
ishu sio majungu funguka kumbuka maneno ya mwalimu kiongozi au mke wa kiongozi kumiliki mali hivyo ukiwa madarakani ni kinyume na maadili ya uongozi na mambo mengine kama hayo,,,,,ikulu kuna biashara gani????????????
 
Huo unaitwa ni wivu wa kijinga na uvivu wa kufikiria.
Nadhani tunahitaji shule nyingi sana sasa kama mtu anaanzisha au anasaidia kuna ubaya gani? Nadhani huyu mleta hii thread ni taahira. na mirembe panamfaa sana.
 
Ana hisa kwenye shule ya waturuki dar es salaaam, kwanini wao wageni wasimiliki wenyewe hizo shule

Realtanza leta habari zaidi mfano;

Lini alipata hizo hisa?
Ana hisa kiasi gani?
Hiyo shule imepata nini kwa sababu tu ya hisa za 1st Lady?

I reserve my comment on this thread waiting for more information
!
 
Back
Top Bottom