Salimia kwa lugha unayoijua!

Stroke

JF-Expert Member
Feb 17, 2012
36,982
45,898
Kimasai = supai?

Kingereza = Hellow!

French= bonjour!

Germany = gutten morgen, gutten tag, gette nacht!

Kisukuma = ulimhola??

Kinyakyusa = tununu?

Kihehe = ugonile?

Kimeru= naare mbonyi?

Kichaga = mbony tsapfo?

Kihaya = Taspota?

Kipare = urewedi?
 
Kiingereza..good evening
Kipare. Washinjave
Kigogo; za usolo wenyu
Kisuma. Mwadila
 
Duuh wewe jamaa umeniacha hoi eti tununu, kihehe sio ugonile...kinyakyusa sio tununu ni ughonile
 
Wakora. ....
Wabonakee. .....
Ponjono (not sure of spelling)
Bwana seraa
Etc.
 
Shikamoo....
Habari za saa hizi.....
Za asubuhi...
Mmeshindaje wakubwa..
Inakuwaje hapo....
Habari za jioni....
Za kutwa....
Za jioni ....
Inakuwaje watu wazito....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom