Salimia kwa lugha unayoijua!

Salimia kwa lugha unayoijua!

Mambo vipi mtu wangu - Kiswahili cha kibongo

Niaje Mazee Naiaje Chalii - Kiswahili cha Arusha/Kilimanjaro

Ohya! Mwana Vhipi mwanangu mwenyewe - Kiswahili cha Mateja

Utotoni Mambo vipi - Heavy tu..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom