zwangandaba
JF-Expert Member
- Jan 31, 2023
- 750
- 1,425
Kikeke ni mzee?Sema huyu mzee is bet mc
Kikeke ni mzee?Sema huyu mzee is bet mc
Atakuwa alifoji umri. Miaka ya 80 anatangaza mpaka leo hajastaafu?Apumzike tu kwa kweli, mzee hana deni kabisa katika tasnia!
Kikeke na Machibya wana uelewa mkubwa sana wa kimombo sana pamoja na uelewa wa mabo kiujulmaZawadi Machibya
Hiyo ndio fashion mpya ya hizi FM radiosiku hizi nafasi zetu wanachukua Wanyarwana
zamani idhaa zote za kimataifa za Kiswahili watangazaji wa Kitanzania walipewa kipaumbele sana hadi tukapata Mkuu wa idhaa ya BBC Swahili Tido Mhando
Watangazaji wetu kwny Radio zetu (ambazo ndio zilikuwa kama sehemu ya kuonesha weledi) wanaangalia wachekeshaji wenye followers wengi sio weledi
Inauma sana. Tumekuwa kama vibwengosiku hizi nafasi zetu wanachukua Wanyarwana
zamani idhaa zote za kimataifa za Kiswahili watangazaji wa Kitanzania walipewa kipaumbele sana hadi tukapata Mkuu wa idhaa ya BBC Swahili Tido Mhando
Watangazaji wetu kwny Radio zetu (ambazo ndio zilikuwa kama sehemu ya kuonesha weledi) wanaangalia wachekeshaji wenye followers wengi sio weledi
Hata mm ,nashangaa Kwa NN wanamuita MuzeeBado hajafikia umri wa kuitwa mzee
Waliogwa juzi ni Kikeke, Suluma Kassim (miaka 44 BBC) na Mariam.Kuna vichwa kama Suluma Kassim (hata sura yake siijui) tangu mtoto namsikia BBC hadi leo in my 40s bado namsikia. Ila sina hakika sana kama bado yupo maana nami nimepunguza kusikiliza idhaa ya BBC-London
Mkuu kama hiyo ofa ni tofauti na aljazeera basi amejichanganya...Ukute kapewa ofa nzuri.
Ila BBC naona imewatema Watz wote
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Hawana aibu wanarudi TzMkuu kama hiyo ofa ni tofauti na aljazeera basi amejichanganya...
Labda aende CNN au DEUSTCH WELLE..
Hahaaa!!!anaweza asiende huko akaja hapa akapiga pesa ndefu sana zaidi hata ya za huko!!mfano aje awe mkurugenzi wa TBC ,au semaji la serikali!!au PM,VP!!ni suala la muda tu,tena hilo jamaa ni lijanja lijanja sana!!Mkuu kama hiyo ofa ni tofauti na aljazeera basi amejichanganya...
Labda aende CNN au DEUSTCH WELLE..
Waandishi Watatu wameondoka akiwemo KikekeAkiwa na umri wa miaka 44 tu hata umri wa kustaafu bado mtangazaji Kinara wa Shirika la utangazaji la Uingereza (BBC) Salim Kikeke ametangaza kuondoka rasmi katika shirika hilo.
"Ninaondoka kwa hiyari yangu" alisikika Salim Kikeke wakati akiwaaga wasikilizaji na watazamaji wa Dira ya dunia ya BBC Swahili. Salim Kikeke ametumikia BBC kwa miaka 20 mpaka sasa.
Kikeke ambaye ni mtangazaji kinara wa Idhaa ya Kiswahili ya BBC, jana Ijumaa Aprili 28, 2023 usiku aliwaaga wafanyakazi wenzake, watazamaji mara baada ya kumaliza kutangaza kipindi cha Dira ya Dunia. Bila kueleza anakokwenda alisema anakwenda kufanya majukumu mengine.
Source: BBC
... wewe uko Azam Tv?Anakuja Azam Tv
Hivi kwanini wazungu hawapendi kukaa sehemu moja muda mrefu?Ni baba wa familia uenda kabla ya kufanya maamuzi ameshauriana na mkewe wameona wachukue hatua stahiki nadhani mkewe pia ni mfanyakazi wa BBC, wazungu hawapendi kukaa sehemu moja miaka mingi uenda kamshauri bwana mkubwa wafanye jambo lao lingine kwa faida ya maisha yao, ukiwa na exposure maisha popote, uenda mkewe nae ame'resign.
Hata mi nashangaa uzee sijui unatafsirika vipi maana sisi tulioko kwenye utumishi uzee ni miaka 60 na ndio unastaafubado hajafikia umri wa kuitwa mzee