Kikekee ninamkubali sanaMtangazaji nguli wa habari Salim Kikeke ambaye alizoelea umaarufu mkubwa kwa style yake ya utangazaji ameondoka rasmi BBC baada ya kufanya kazi na chombo hicho cha habari kwa zaidi ya miaka kumi.
Hakika Kikeke aliifanya vyema kazi yake vyema sana, na kiukweli hatasaulika kwa umahiri wake!
Tunamtakia kila la heri kwa majukumu yake mapya atakayoanza!
Kuna za ndani kwamba anafuata nyayo za Zuhura eti!!!
unatoka BBC unaenda wapi labda CNN ila sio bongo tena
Wamerudi bongo kuja kuharibiwa maisha kama yule MuhandoSalim, Zuhura, Charles wana SAUTI za kipekee. 🙌🏼 Na wanajua
labda wapo homesick jamani, wamemiss nyumbaniWamerudi bongo kuja kuharibiwa maisha kama yule Muhando
Kikeke kaoa ughaibuni kumiss home ni ngumulabda wapo homesick jamani, wamemiss nyumbani
Watu hawana aibu watakuja Bongounatoka BBC unaenda wapi labda CNN ila sio bongo tena
siku hizi nafasi zetu wanachukua WanyarwanaHivi kuna mtanzania gani mwingine amebaki BBC swahili
Zawadi MachibyaHivi kuna mtanzania gani mwingine amebaki BBC swahili
Kikeke bado kijana yuleSema huyu mzee is bet mc
Ebu acheni mambo zenu aiseee, Kikeke bado kijana sanaApumzike tu kwa kweli, mzee hana deni kabisa katika tasnia!
Alafu kweli! hata kashfaa hana!!Apumzike tu kwa kweli, mzee hana deni kabisa katika tasnia!