Salim Kikeke aaga rasmi BBC

Salim Kikeke aaga rasmi BBC

Mtangazaji nguli wa habari Salim Kikeke ambaye alizoelea umaarufu mkubwa kwa style yake ya utangazaji ameondoka rasmi BBC baada ya kufanya kazi na chombo hicho cha habari kwa zaidi ya miaka kumi.
Hakika Kikeke aliifanya vyema kazi yake vyema sana, na kiukweli hatasaulika kwa umahiri wake!
Tunamtakia kila la heri kwa majukumu yake mapya atakayoanza!

Kuna za ndani kwamba anafuata nyayo za Zuhura eti!!!
Kikeke ni chawa wa Samia, hana weledi kama akina tido mhando nk
 
Huyo abaki tu ugaibuni kama akina chama omari matata ,waihenya kabiru,ahmed rajab na wengineo,.akirudi bongo hawatachelewa kumuundia zengwe nani alijua tido muhando anakamatwa.nilipokuwa nikimwona kisutu hakina nilimuonea huruma sana
 
Mtangazaji nguli wa habari Salim Kikeke ambaye alizoelea umaarufu mkubwa kwa style yake ya utangazaji ameondoka rasmi BBC baada ya kufanya kazi na chombo hicho cha habari kwa zaidi ya miaka kumi.
Hakika Kikeke aliifanya vyema kazi yake vyema sana, na kiukweli hatasaulika kwa umahiri wake!
Tunamtakia kila la heri kwa majukumu yake mapya atakayoanza!

Kuna za ndani kwamba anafuata nyayo za Zuhura eti!!!
Subiri utamwona katika baraza jipya la mawaziri hivi punde.
 
siku hizi nafasi zetu wanachukua Wanyarwana

Watangazaji wetu kwny Radio zetu wanaangalia wachekeshaji wenye followers wengi sio weledi
na tunapoelekea itakuwa ngumu zaidi
 
Kuna vichwa kama Suluma Kassim (hata sura yake siijui) tangu mtoto namsikia BBC hadi leo in my 40s bado namsikia. Ila sina hakika sana kama bado yupo maana nami nimepunguza kusikiliza idhaa ya BBC-London

Kaondoka hivi sasa pamoja na Kikeke na Mariam Omary!
Walikuwa wamebaki wakongwe watatu,wameondoka wote kwa pamoja!

Kikeke yeye alisema anahitaji kusonga mbele zaidi!
 
Back
Top Bottom