Jaman wana jamvi nimepata dili la kusambaza bidhaa za afya but nimeambiwa nitakuwa nalipwa kwa commission kulingana na mauzo yangu..ushauli kwa mfan Upt katton ni laki mbili ambayo mm napata %10 kwa kila catton je iko poa wadau but hupewi usafili ni wewe sasa kutafuta masoko