Sales & Marketing Executive needed | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sales & Marketing Executive needed

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by T.N, Apr 20, 2011.

 1. T

  T.N Member

  #1
  Apr 20, 2011
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dear All,

  We are looking for an experinced person to do sales for a travel and tours company- Based in Dar es salaam

  Fluent in English & Swahili

  Send your CV to ernest@igrouptz.com
   
 2. Yousuph .M.

  Yousuph .M. Senior Member

  #2
  Apr 20, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 124
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Package zikoje, ni kazi ya mkataba au kudumu?
   
 3. Sita Sita

  Sita Sita JF-Expert Member

  #3
  Apr 21, 2011
  Joined: Aug 25, 2008
  Messages: 1,196
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  T.N. are you serious?

  Tangazo lako halina information kabisa, husemi ni Nchi gani, mkoa gani, job description, mazingira ya kazi

  I wonder if that company has a HRM
   
 4. P

  Pretty P Senior Member

  #4
  Apr 21, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 120
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Naomba kujua kwa kina zaidi bse umeandika short mno.
   
 5. Anfaal

  Anfaal JF-Expert Member

  #5
  Apr 21, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 1,157
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Hizi ndio kazi za aina ya;
  Nunua mbili kwa bei ya bidhaa moja.
  Wale wanavaa tai wanapita maofisini.
  Nimekumbuka hii, nimecheka saana. Mie niliwahi kuona kajitangazo kama haka, nikaenda ofisini wakaniuliza qualification zako zikoje nikwaambia, wakaniambia wewe ondoka. Wale wengine wakaambiwa kesho yake waende kuanza kazi na barua kutoka kwa ofisi ya serikali ya Mtaa, mdhamini na picha na waje na Tai wamependeza kuanza kazi. Kufika, wakapigwa kitrain fulani hivi, ghafla wanagawiwa thermos kwenda kuuza. Duh!!!!!!!!!!!!!
   
 6. p

  pihu Senior Member

  #6
  Apr 21, 2011
  Joined: Feb 21, 2011
  Messages: 103
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Anfaal hii imekaa poa sana!! Big Up
   
Loading...