Sales consultant: tunakopesha

Sales consultant: tunakopesha

salary laki 4 hiyo basic, plus allowances (transport allowances, health allowances) na commission 7% ya kila mkopo unaotoa. hivyo takehome ni 1million nakuendelea
 
Thanks mkuu. Nipe technics za kuingia hapo
 
Ingia zoom kuna Tangazo lao wameweka na namba za simu za HR wao, pamoja na process za kuapply
 
salary laki 4 hiyo basic, plus allowances (transport allowances, health allowances) na commission 7% ya kila mkopo unaotoa. hivyo takehome ni 1million nakuendelea
Samahani...hiyo ni kwa credit officer au hata kwa accountants? Maana nimeona nafasi za accountants na credit officers...msaada Tafadhali.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom