Saleh Jembe achana na blogspot

nzagambadume

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2018
Posts
2,430
Reaction score
5,787
Ndugu yangu wewe ni mwandishi mkubwa tu na blog yako ina hadi sponsors wa kutosha ila fanya kitu kimoja tafuta laki mbili kahost iwe .com maana naona hata google wameachana na kuishughulikia blogspot ipasavyo kila mara blogs hazipo hewani na wewe sijui huwa unawajibu nini sponsors wako au unawapa matangazo ya bure?
Ni hayo tu.
 
Nimesikia mkuu nitaufanyia kazi ushauri wako. kwa niaba yake kama mdau.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…